Wana Twitter wameonyesha njia kupitia TOT Bonanza, Jamii Forums Bonanza (JF Bonanza) ifuate,

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
16,101
2,000
Wakuu tuko na washikaji hapa viwanja vya Kijitonyama katika bonanza lililopewa jina la TOT Bonanza, wenyewe watumiaji wa Twitter wanafahamu maana yake,wengi hapa pia ni watumiaji wa Twitter ila kuna wengine wengi pia kama sisi huwa hatukosi mitonyo kama hii ya vitu vizuri kupitia kwa washikaji zetu.
Hii idea yao ya kukutana pamoja na kuboresha mahusiano yao kupitia michezo na fursa mbalimbali imekaa poa sana, na sisi huku JF tuandae bonanza letu angalau mara moja kwa mwaka, tukutane,tujuane na tupeane michongo ya kutoboa kimaisha.
Tupange kushiriki na majina yetu halisi na hakuna atakayekata anonymous ID zetu za humu JF.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
16,101
2,000
Matatizo gani?
Tutaacha majina yetu feki majumbani kwetu siku hiyo,tutatumia majina yetu halisi,
Hakikisha tu ujisahau na kutaja jina lako la humu ndani maana sio kazi nyepesi kuishi na multiple identities.
Unawatafutia watu matatizo!
JF wengi wanatumia majina feki
 
Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
6,168
2,000
Wakuu tuko na washikaji hapa viwanja vya Kijitonyama katika bonanza lililopewa jina la TOT Bonanza, wenyewe watumiaji wa Twitter wanafahamu maana yake,wengi hapa pia ni watumiaji wa Twitter ila kuna wengine wengi pia kama sisi huwa hatukosi mitonyo kama hii ya vitu vizuri kupitia kwa washikaji zetu.
Hii idea yao ya kukutana pamoja na kuboresha mahusiano yao kupitia michezo na fursa mbalimbali imekaa poa sana, na sisi huku JF tuandae bonanza letu angalau mara moja kwa mwaka, tukutane,tujuane na tupeane michongo ya kutoboa kimaisha.
Tupange kushiriki na majina yetu halisi na hakuna atakayekata anonymous ID zetu za humu JF.
Unataka watu wafike wapelekwe kituo cha polisi mabatini pale kijito cha utakaso. Hahahaha hahahaha hahahaha

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
CARDLESS

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
3,642
2,000
Twitter ni wachache tu ambao tunatumia ID fake. Wengi huweka maisha yao hadharani sana.
Hivyo huwa rahisi kumeet. Mtu kama kigogo hawezi tokea TOT Bonanza.
Tuwe makini sana na hizi ID zetu.
Kuna watu special wanadeal na mitandao tu. Kuanzia facebook, insta, twitter nk kujua majina halisi ya watumiaji hasa wenye mtizamo hasi juu ya utawala.
Niseme tena kuwa kwa gharama yoyote ile wanatumia kuwatrck hao wanaoona kuwa wana chembe za mitizamo ya chuki.
Mimi niliwahi pata kadhia juu ya post zangu za FB na kibaya zaidi nilikuwa mtumishi. Kama si ndugu wa damu kunitonya fasta ilikuwa nakosa ama kazi au uhai.
Kuweni makini sana na hizi event ambazo hazina mbele wala nyuma. Lakini niwaombe pia muwe makini sana na DM zenu hasa mtu anapotaka kukusaidia au kukuomba mawasiliano yako. ID ambazo ziko katika Radar ni zile ambazo ni UNKNOWN yaan majina hayaeleweki na still wanapost mambo sensitive.
Jiepusheni zaidi na wadada wa humu ndani kwa sababu moja ya kazi ngumu ni kumtambua shushushu wa KIKE.
 
Zesh

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
15,135
2,000
Twitter ni wachache tu ambao tunatumia ID fake. Wengi huweka maisha yao hadharani sana.
Hivyo huwa rahisi kumeet. Mtu kama kigogo hawezi tokea TOT Bonanza.
Tuwe makini sana na hizi ID zetu.
Kuna watu special wanadeal na mitandao tu. Kuanzia facebook, insta, twitter nk kujua majina halisi ya watumuaji hasa wenye mtizamo hasi juu ya utawala.
Niseme tena kuwa kwa gharama yoyote ile wanatumia kuwatrck hao wanaoona kuwa wana chembe za mitizamo ya chuki.
Mimi niliwahi pata kadhia juu ya post zangu za FB na kibaya zaidi nilikuwa mtumishi. Kama si ndugu wa damu kunitonya fasta ilikuwa nakosa ama kazi au uhai.
Kuweni makini sana na hisi event ambazo hazina mbele wala nyuma. Lakini niwaombe pia muwe makini sana na DM zenu hasa mtu anapotaka kukusaidia au kukuomba mawasiliano yako. ID ambazo ziko katika Radar ni zile ambazo ni UNKNOWN yaan majina hayaeleweki na still wanapost mambo sensitive.
Jiepusheni zaidi na wadada wa humu ndani kwa sababu moja ya kazi ngumu ni kumtambua shushushu wa KIKE.
Umemaliza kila kitu
 
Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,567
2,000
Twitter ni wachache tu ambao tunatumia ID fake. Wengi huweka maisha yao hadharani sana.
Hivyo huwa rahisi kumeet. Mtu kama kigogo hawezi tokea TOT Bonanza.
Tuwe makini sana na hizi ID zetu.
Kuna watu special wanadeal na mitandao tu. Kuanzia facebook, insta, twitter nk kujua majina halisi ya watumiaji hasa wenye mtizamo hasi juu ya utawala.
Niseme tena kuwa kwa gharama yoyote ile wanatumia kuwatrck hao wanaoona kuwa wana chembe za mitizamo ya chuki.
Mimi niliwahi pata kadhia juu ya post zangu za FB na kibaya zaidi nilikuwa mtumishi. Kama si ndugu wa damu kunitonya fasta ilikuwa nakosa ama kazi au uhai.
Kuweni makini sana na hizi event ambazo hazina mbele wala nyuma. Lakini niwaombe pia muwe makini sana na DM zenu hasa mtu anapotaka kukusaidia au kukuomba mawasiliano yako. ID ambazo ziko katika Radar ni zile ambazo ni UNKNOWN yaan majina hayaeleweki na still wanapost mambo sensitive.
Jiepusheni zaidi na wadada wa humu ndani kwa sababu moja ya kazi ngumu ni kumtambua shushushu wa KIKE.
ww jamaa unahuruma sana, kila siku huwa tunahubiri humu.... Wacha ipoteze kwani ni ndugu zako au ni watoto wadogo??? Kila siku tunasema kama ww ni mkosoaji wa serikali halafu unapenda starahe na mademu na michongo utakamatwa tu, na nasemaa wacha ikamatwe ipige kamba za shigo....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom