Wadau habarini za jioni.
Ndugu zangu naombeni tupeane update kwa waliomba maombi ya scholarship za china kama majibu wameanza kupata .
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Federal Reserve ya Marekani ni taasisi ya watu binafsi.Nukuu zifuatazo za watu,vyombo au taasisi muhimu zinathibitisha hili:
1."Bank za Federal Reserve za mikoa sio taasisi za serikali,ni taasisi...
Mkuu wa usalama barabarani Mkoa wa Arusha hivi karibuni alimkamata mdada(jina tunalihifadhi) akiwa amepaki kimakosa barabarani.
Mkuu huyo alisimama nyuma ya gari ya dada huyo na kumkamata yeye...
Ni baada ya kupeana ndege tausi then turudishiwa dhahabu hapo Jana
Mlipiga kelele sana kuuza ,serkali ikafunga masikia na kusema tutauza unga sio mahandi ila ndio dipromasia ina nguvu siku hizi...
Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.
Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka...
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha mh Catherine Magige ameendelea na ziara yake ya kikazi leo wilayani Monduli.
Akiwa kata ya mto wa mbu mbunge alikutana na baraza kuu la UWT wilaya monduli...
Siku zote sikua nikikubaliana na tafsiri ya jina la mtandao pendwa wa simu la Tigo , ambalo kila mtu amekua akilitafsiri kwa namna apendavyo. nilikua nikiitafuta tafsiri ya kweli na leo nimeipata...
Wakuu..
Mnakumbuka zimbabwe kabla ya vikwazo?
Jamaa walikua mbali sana wazalishaji wakubwa wa mahindi na mazao ya biashara
Kiuchumi walikua[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hadi...
Watu siku za hivi karibuni wamekuwa wakistaajabu na mambo ya watu kutoweka au kutekwa na watu wasiojulikana, hebu someni kisa hiki kilichotokea mnamo mwaka 1977 huko mjini Dar-as-salaam.
Anaitwa...
Nimejaribu kumfuatilia huyu bwana sidhani kama anafanya kazi zake kwa weledi inaonekana ni mtu wa kukurupuka tu bila mpango wowote. naamini angekuwa nje ya DAR sidahani kama angeweza kuongoza...
Tulishawahi kusema kwamba katika eneo la tiba na Hospitali bora, Tanzania haina mpinzani katika Eneo hili la kusini mwa Sahara, ukiondoa South Africa.
Sasa Tanzania imeamua kupambana na South...
Mbunge wa Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe ambaye ni Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga amemuagiza Mkuu wa wilaya ya Mbozi Mhr John Palingo kumkamata mfanyabiashara aliyewauzia wakulima mbegu feki...
*JUA MUDA AMBAO MTEJA ANAPASWA KUFANYA UKAGUZI WA MTANDAO WA NYAYA NDANI YA NYUMBA*
*UKAGUZI UFANYIKE KUPITIA WAKANDARASI WALIOSAJILIWA*
Ili kuendana na matakwa ya Kanuni za Umeme za mwaka 2019...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea Je inawezekana mtu akawa mpinzani lakini kumbe ni mtu wa system?
Ninaposema mtu wa system nadhani wengi mnaelewa Je kitu kama hiki kinawezekana lakini.
Sina kinyongo wala wivu wowote ule na wajasiriamali wadogo wanaojipapatua ili kujiinua , lakini ni lazima tukubali kwamba katika maandalizi ya chakula chochote afya ya walaji ni kipaumbele cha...
Miaka miwili nyuma kushuka chini ilikuwa ni kawaida sana kukutana na vijana wakiwa na magazeti mkononi wakitembeza hapa na pale kutafuta wateja na yalikuwa yakinunuliwa kweli kweli,
Sehemu hizi...
Mara nyingi Utakuta ww MTU wa kawaida hauruhusiwi kuingia ndani ya nyumba yenye msiba, OK fine unaweza sema wanaogopa kuibiwa, lkn hata nje ya nyumba, viongozi wa serikali, familia iliofiwa, na...
Niko na watoto wanaangalia AZAM TV UTv kipindi cha watoto. Mtangazaji anauliza mlima Kilimanjaro uko mkoa gani? Anawaambia wachague jibu kati ya Tanga, Moshi na Arusha. Watoto wangu wakahamaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.