Kama ni kweli Gharib Said Mohamed basi Songea ipewe hadhi ya jiji kwa ajili ya super billionaire GSM
Gharib Said Mohamed ni moja ya billionea mkubwa sana ambaye anabishara nyingi pia ni mdhamini...
Wakati Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar aliposimama mbele ya Bunge mjini Dodoma leo tarehe 11 Juni 2026, hakuwa anawasilisha tu mchanganuo wa hesabu za mapato na matumizi; alikuwa...
Zaa mda huu
Nahifadhi jina la mtaa ninapoishi ili kulinda heshima ya hiyo familia
Binti aliwagomea wazazi wake mapema alipoingia form two, na kuwaeleza wazazi wake kuwa wasipate tabu wa yeye...
Msaada wana JF.
Nina siku ya pili mwenzenu nahanagika kupakua vitu kutoka youtube na kuvihifadhi kwenye PC yangu,nimehangaika sana lakini nimekwama kwa yeyote mwenye kujua namna na kupakua...
Nimeona uzinduzi wa logistic hub(ghala la forodha)...Nikawaza Ni mafanikio YA kusherehekea au inabidi tujitafakari kasi yetu YA kugeuza TAIFA letu SOKO Kwa bidhaa ZA nje.
Tukiwa na idadi kubwa YA...
Umuofia kwenu natumai mmekuwa na wakati mzuri sana.
Soma na hii pia itakusaidia pia
Chungu kimoja kilikuwa na mitumbwi mingi ufuoni. Kila mtumbwi ulikuwa na jina lake. Lakini kuna mtumbwi mmoja...
Fikiria unapengine miaka 50 au 60, inamaana miaka yako ya kuishi iliyobakia hapa duniani NI pengine 10, 20 au 30 hivi na hii ni kwa mujibu wa Biblia.
Unakuta kwa umri wako wa sasa ndio umebobea...
Habari waungwana, Leo nilienda saloon moja ambapo sio mbali sana na kilipo chuo kikubwa Cha serikali.
Wakati nikiwa hapo nahudumiwa Kuna kabinti akawa ameleta huduma ya mtori na chai Kwa hao...
Wakuu hii app ya CRDB ni pasua kichwa. Inaweza kukuaibisha muda wowote.
1. Ukitoa hela kwa cardless hautumiwi msg
2. Ukihamishia hela kwenye simu inashindikana
3. Ukituma hela bank nyingine ni...
Sijawahi kukutana na ndoa ya watu ambao ni mabinamu lakini ikitokea mabinamu wameona ina maana shangazi na mjomba watabaki na titles zao au wanakuwa mama mkwe na baba mkwe?
Nb: Haishauriwi...
Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/27 inatarajiwa kusomwa bungeni jijini Dodoma, na kila mmoja wetu anasubiri kwa hamu kujua mwelekeo wa maisha yetu kwa mwaka ujao.
Ni bajeti ya...
Kwa wafatiliaji wa kwaya ya Redemption Ministers Melody watakuwa wanamfahamu dada huyu.
Binti anaitwa Claire Mary amemwagiwa Tindikali na mtu anayedaiwa kutumwa na Ex boyfriendwake aitwaye Elvis...
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 Serikali pia imeanzisha Mfuko wa Machinga wa...
Tunaomba msaada wa Waziri wa Maji, Juma Aweso, kuangalia kwa karibu suala la ajira za mkataba za wasomaji wa mita za maji zilizotangazwa hivi karibuni.
Kumekuwa na malalamiko kuwa katika mchakato...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar amesema kampuni kubwa za kimataifa za Moody’s na Fitch Ratings zilifanya tathmini ya awamu ya kwanza ya uwezo wa nchi kukopa na kulipa madeni kwa mwaka...
Akisoma Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2026/27 Bungeni, Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar amesema Katika Bajeti ya 2026/27, matokeo ya awali ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi...
Tarehe 25-05-2026 Viongozi waandamizi(wakuu) wa chama cha walimu Tanzania yaan kuanzia Raisi wa chama,katibu mkuu pamoja na muweka hazina Taifa ikiwa ni sambamba na viongozi waliopita (Rais na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.