Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 962
- 1,909
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 Serikali pia imeanzisha Mfuko wa Machinga wa kuwezesha wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama machinga, ambapo shilingi bilioni 18.5 zinaendelea kutumika kukopesha wafanyabiashara hao kwa mwaka 2025/26. Ili kuendelea kuimarisha Mfuko huo, shilingi bilioni 10.5 zitaongezwa kwa mwaka 2026/27.