I hope this thread finds you well. Mimi ni mzima wa afya kabisa sijui ninyi huko
Leo nimekutana na kijana mwenzangu anauza vitu kama mafuta, sabuni, perfumes etc. makolo kolo mengi mengi wazungu...
Kila anapokufa mtu yeyote ndipo sifa zake uanza kuenea kwamba amefanya haya na yale, mara huyu mtu amekuwa nguzo katika suala fulani au amewezesha kitu fulani,
Hii ni tabia ya unafiki iliyojaa...
Ndugu Msomaji wa makala za BAKIIF.
Bila shaka unampenda MUNGU Sana, tunaamini hivyo japo hufuati amri zake, lipo kusudi la Mungu kutaka kukusaidia jambo Fulani ikiwa uko tayari katika yote...
Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake.
Baadhi ya vipengele...
Vijana waliobahatika kupata kazi miaka 5 ya hivi karibuni.
Wamekuwa na udhaifu mmoja naona hauongelewi ila wakiendelea hivi kutakuwa na shida mahali.
Kwanza wamekuwa wakipenda kujipost...
Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa la Tanganyika, alifanya mambo mengi na makubwa lakini Muungano wa T + Z ulikuwa uamuzi mbaya
Madhara ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni...
Mchuzi wa mbwa kunywa wa moto. Leo tumeona Congo suala Patrice Lumumba na wahusika wake wa mwisho kafa mzee kabisa.
Tuje upande wa Rwanda napo ni vile vile. Wakubwa wa hayo matukio wanapatikana...
https://www.youtube.com/live/YM6E5-HS0cg?si=21CIYEQBhoNnR8Qj
UDOM PUBLIC LECTURE: DAVID KAFULILA YUKO LIVE
Katika mhadhara wa umma ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), College of...
I dare you nenda tik tok na insta, then scroll reels zenye asili ya kibongo ni makebo utakutana nayo kwa wingi bila kupenda,
Uongeaji wa matusi ya nguoni na utakutana na video zenye asili ya...
Siri ya mafanikio ni kuhakikisha unabana matumizi kwa nguvu zote, usitumie utumie pesa bila utaratibu, kabla hujanunua kitu jiulize hili swali, hivi nisiponunua nitakufa? Kama jibu hapana, achana...
Moderator naomba msiunganishe Uzi na nyuzi nyingine.
Nimesoma kwa masikitiko makubwa sana Uzi wa mkuu LIKUD kuhusu jinsi alivyo pokea taarifa za uwepo wa dada yake kwenye ajali ya MV Bukoba...
KIBAHA, Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi milioni 991.5 kwa vikundi 51 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika robo ya tatu ya mwaka wa fedha...
Inasikitisha, kile tunachofahamikia zaidi huko mitandaoni uwezo wa wadada zetu kukata viuno katika ngoma za asili "traditional twerk" lakini pia ni chudai za kuchimbuana mitalo bongo ndio...
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua...
Kamanda wa polisi, jumanne muliro hatimaye amedai jeshi la polisi, limefanikiwa kuwakamata Masai wanne walio husika na kifo cha mchina, na kumpora milioni tisa taslimu.
Maneno walio kamatiwa ni...
Tukichambua hoja hii ya kwamba "kuuza kila kitu ni kuuza urithi," tunaingia kwenye kiini cha mjadala wa uzalendo, uchumi, na mustakabali wa Tanganyika .Hapa ngoja nichambue kwa kina kwanini dhana...
Na mtu ambaye yupo Dodoma jana katutext eti ameshikwa na polisi tumlipie dhamana tokea hapo hatuna taarifa yeyote naomba msaada kama kuna mtu ambaye anaweza kutusaidia tumpate .
Maana hapatikani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.