Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua...
1 Reactions
18 Replies
295 Views
MNAKUMBUKA NILISEMA, HIZI NI SAA NA HAKUNA KESI HAPA Kwanza nitakuwa wa kwanza Leo kuugana Mwamposa kwamba hapa hakuna mmasai , hebu angalia hizi picha na sura hawa ni wamasaia ? Okey hata kama...
2 Reactions
5 Replies
148 Views
Singapore imepita katika njia ile ile ambayo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaiongoza Tanzania leo kwa kuwekeza katika uchumi, elimu na nishati kama nguzo za maendeleo ya Taifa.
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Reform inahitajika kwenye Masai tribe, ni kweli wanachunga nature lakini sio kwa style hiyo.
2 Reactions
52 Replies
582 Views
Hivi Umejaribu Kuwaza Juu ya Athari Zinazoweza Kusababishwa na Hivi Vita vya Israel, Marekani na Iran? 1. Kupanda kwa Bei ya Mafuta Duniani. Mzozo katika eneo la Mashariki ya Kati unaibua hofu...
3 Reactions
14 Replies
579 Views
Wahini siti nitaeleza elimu ya ndani sana. Vitu nitakavyo gusia ni 1. Mambo ya kidini (Kikiristo). Nitaongelea Mwili, Nafsi na Roho 2. Artificial Intelligence (AI) Technology na Machine...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Nimesikia mara nyingi kauli hii "kuna mambo yasiyo ya Muungano na yaliyo ya Muungano",. Kwa uelewa wangu Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tz walipaswa kushughulikia yale mambo ya Muungano tu...
1 Reactions
8 Replies
22K Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetangaza kuwepo kwa upungufu wa uzalishaji na usambazaji wa maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza kutokana na hitilafu ya umeme katika...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Sakata lililotikisa Hospitali ya Somanda iliyopo Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu, ambapo daktari alidaiwa kumpiga muuguzi wakiwa kazini, limefikia tamati baada ya pande husika...
7 Reactions
29 Replies
674 Views
Jirani na ilipo ofisi yangu, wadada wawili mawakala wamefunga ofisi yao na kisha kuondoka nyumbani kwao kama ilivyo destruri majira ya sa mbili usiku huu, ile wanakaribia geti la kwao mwizi...
8 Reactions
38 Replies
598 Views
Mmemsikia babu wa CCM akitamba Kumbe kuna watu wanataka wafe? ========== Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Steven Wasira, ameshangazwa na baadhi ya watu wanaohoji kwa kejeli “mbona...
2 Reactions
3 Replies
126 Views
Nimekutana Leo na Rafiki yake mama, nimecheka sana! Kanikumbusha mbali sana! Nikiwa nimeandikishwa darasa la kwanza,Nilienda kuanzia shule, Sasa wakati wa kwenda,tulianza ofisini,Mimi na mjomba...
9 Reactions
19 Replies
190 Views
Hamjambo! Nimekuta mjadala sehemu. Shule inajivunia mazingira mazuri, waalimu mahiri, na zana bora za ujifunzaji na kufundishia. Huku ikijigamba inauwezo wa kufaulisha. Swali linakuja, kama...
13 Reactions
80 Replies
893 Views
https://youtu.be/GRTsSX1s-pA?si=zlEpESQVgC7v_IkJ NA MATUKIO DAIMA MEDIA, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imesema imejipanga kuanza msako mkali dhidi ya matumizi holela ya vipaza sauti na...
0 Reactions
2 Replies
160 Views
Mimi umri wangu ni miaka 40 na zaidi kidogo, naish Dar es salaam na nimezaliwa hapa hapa Dar japo mie sio mzalamo, Siku moja miaka 10 iliyopita nilipokea taarifa kuwa dada yangu wa mwisho...
10 Reactions
48 Replies
5K Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepokea taarifa kuhusu zoezi la kuwaondoa wananchi kwa nguvu na kinyume cha sheria katika Kitongoji cha Luhafwe, Kijiji cha Vikonge, Kata ya Tongwe...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Habari za wakati ndugu, Mimi ni mmoja wa wauguzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu (Somanda). Hivi karibuni hospitalini kwetu kumetokea tukio la kinyama, tukio la...
23 Reactions
186 Replies
3K Views
Leo nimejikuta napata ghadhabu sana na nikasema lazima niteme nyongo. Yani asubuhi asubuhi na hili baridi unakuta kitoto kidogo cha chekechea kimepandishwa boda eti kinaenda shule. Yani wewe...
6 Reactions
11 Replies
260 Views
Jumapili nilipata fursa ya kutembelea eneo la Gongolamboto AIESS, lakini nilichokikuta kuhusu hali ya usafi kinatia wasiwasi mkubwa. Taka zimejaa na kulundikwa barabarani kabisa, hali...
1 Reactions
5 Replies
242 Views
Nimekua nikifuatilia kwa siku nyingi Baadhi wa watumishi wa Umma kuchukua Salary Advance Kwenye Taasisi mbalimbali za Pesa hasa Mabenki, Kiukweli Watumishi Huwaambii Kitu kuhusu salary Advance...
6 Reactions
26 Replies
529 Views
Back
Top Bottom