Wananchi wa Mtongani Mecco, Kunduchi, tunaendelea kupata mateso makubwa kutokana na kukosa njia ya uhakika ya kuingia na kutoka katika eneo letu baada ya kufungwa kwa barabara kufuatia mradi wa...
Kama una mpango wa kuja Mwenge ukitokea Tegeta au mbezi au Kawe tafuta njia nyingine tu
Kuna foleni ya kutisha na haisogei nimekaa hapa ni lisaa limekata hakuna matumaini ya kusogea hata...
Mimi nipo Mbeya huwa nasikiliza Redio Access FM kuanzia saa tatu usiku na kuendelea, kuna matangazo ya Waganga wanasema wanatoa mali kwa Sh 160,000.
Swali langu Je, Serikali inaruhusu mganga...
Kumekuwa na ongezeko la nauli za mabasi ya mikoani katika miaka ya hivi karibuni, lakini hadi sasa LATRA haijaweka hadharani waraka au PDF mpya ya viwango vya nauli. Hati inayopatikana kwa urahisi...
Huduma ya ttcl fibre Arusha ni mbovu, imejaa ubababishaji sana, mtu unalipia na unacheleweshewa kufungiwa na wakati huo kifurushi kinahesabika kinatumika. Hii tabia inakera, wahudumu hawana majibu...
Ndugu zangu wa JamiiForums Wasalaam,
Naleta mada hii mbele yenu nikiwa kama mkazi wa eneo la Kata ya Mlandizi mkoani Pwani. Lengo langu kuu ni kuomba hifadhi ya utambulisho wangu (Anonymous)...
Barabara inayotoka Chalinze kuelekea Mwarabu, kupitia Kijiji cha Malivundo hadi Msigi, ipo katika hali mbaya sana, kiasi kwamba wananchi wanapata shida kubwa kuitumia, hasa wakati wa msimu wa...
JE, NANI ATAOKOA KAWOSA LTD KARAGWE KABLA HAIJACHELEWA?
Mimi ni mmoja wa wanachama wa KAWOSA LTD iliyopo Wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera. Kwa masikitiko makubwa, sisi wanachama tunaendelea...
TAARIFA KWA UMMA
ONGEZEKO LA TRENI YA EMU KATI YA DODOMA NA DAR ES SALAAM
Dar es Salaam, Juni 12, 2026.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapenda kuuarifu umma kuwa, kufuatia ongezeko la mahitaji...
Siku hizi kumekua na wimbi kubwa la kuibwa nyota kwa njia ya mapenzi.
Hemu jichunguzeni kuna watu ambao umefanya nao tu mapenzi na kila kitu kinaanza kuharibika kiuchumi nukhsi na ukosefu wa...
Likizo ya June inakaribia, watoto watakuwa nyumbani kwa wiki kadhaa hadi mwezi. Swali la kujiuliza ni hili: Je, unamjengea mtoto uwezo wa kuishi na kujitegemea au unaendelea kuamini kwamba kumnoa...
Wakuu habari,
Nimeamua leo nianze kwa gear ya maua.
Wengi wetu huwa tunashangaa sana pale tunapoona mchizi katoa laki 1 kununua uwa kumpelekea Mamsi wake, tukichukulianai ni kukosa matumizi sahihi...
Madereka anakwambia ukifatilia hii nchi masaa 12 kinachofata unaweza kuwa kichaa au mungu kukusaidia tu.
Tunaelewa kwamba madini ya uranium yapo.Je unayekwenda kumuomba kuwa mtu wako wa karibu...
Nikifuatilia mijadala Mingi mitandaoni na kwenye vijiwe mbalimbali kumeanza kuwa na hisia Kali Sana za uzawa.
Tukianza na ukanda ni majuzi tu bungeni tuliona namna wabunge wa kusini walivyo kuwa...
Watanganyika hatukuzoea maisha haya ya askari polisi na wanajeshi kutapakaa mtaani saa 24 wakishinda kwenye vituo vya mwendokasi na makutano ya Barabara, wakiwa na mitutu ya Bunduki pamoja na...
Habari za mchana huu wa kazi wakuu,
Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Sote tunajua lile bishano kubwa la ndani ya moyo linalotokea kila ifikapo saa saba hadi saa tisa mchana—pale mwili...
Kwa kweli maisha ya secondary hasa day school tuliosoma shule za kata na kumaliza 2010 mpaka 2014 hapo yalikuwa na furaha ambayo watu wengi hawaielewi mpaka wakishatoka. Miaka minne ile mnakaa...
Habarini tena wakuu, naomba kuwasilisha namna nyingine ya kusave pesa, ni kuamua kwa dhati kuondoa mlo mmoja katika milo yako kwa siku.
Hii ni kwa wale vijana wanaojitafuta na hata wenye familia...
Kama ni kweli Gharib Said Mohamed basi Songea ipewe hadhi ya jiji kwa ajili ya super billionaire GSM
Gharib Said Mohamed ni moja ya billionea mkubwa sana ambaye anabishara nyingi pia ni mdhamini...
Wakati Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar aliposimama mbele ya Bunge mjini Dodoma leo tarehe 11 Juni 2026, hakuwa anawasilisha tu mchanganuo wa hesabu za mapato na matumizi; alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.