DADA KASOMESHWA NA MUME WA MTU HADI KAMALIZA SHULE.
Mume wa mtu kasomesha mdada hadi akamaliza shule.
Dada kamaliza Chuo kashapata mtu wake anamkataa mume wa mtu alomsomesha kwa sababu mara...
"Nimebakiza wiki moja tu ya kuishi, nisaidieni!" Hii ni kauli nzito inayoonesha kukata tamaa, kutoka kwa kijana Said Abdallah (33).
Said anapitia kipindi kigumu, siku zake za kuishi zikiwa...
Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa...
Aisee kuna magonjwa hatari moja ya magonjwa hayo ni kuwa mtu wa asili ya africa, mweusi.
Yan ni shida tupu. Mimi na uzao wangu nitajikomboa, sawa nitakuwa mwafrika ila ninajipandikiza roho ya...
Kwa sasa habari ya mjini ni kununua hisa, bonds, mifuko ya uwekezaji n.k, je ni kitu kizuri au ni kibaya? Ni kitu cha kudumu au ni upepo tu? Je hao watu wanatengeneza hela kweli au ni...
Kwakawaida pale MUHIMBILI na hospitali zote zenye vyuo Huwa wanapita madaktari na wanafunzi wao mawodini kama sehemu ya kuwafumdisha Kwa vitendo Yani yule mgonjwa anakuwa case study.
Sasa...
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulianzishwa tarehe 26 Aprili 1964 na kuzaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata hivyo, kwa miaka mingi kumekuwa na mijadala na maswali kuhusu namna uamuzi huo...
Kando ya Tamasha la Asili la Utamaduni BULABO linalofanyika katika Viwanja vya Ngomeni-Kisesa, Ilemela Mkoani Mwanza, leo tarehe 11/06/2026 limefanyika Kongamano lililowakutanisha Wanafunzi wa...
Wasalaam.
Pikipiki ni usafiri wa haraka na pia imetoa ajira kwa vijana na faida kibao.
Haipiti mwezi bila kusikia kifo kilichosababishwa na piki piki.
Shida ni nini?je ni asili ya piki piki au...
Moscow, Urusi – Jenerali wa ngazi ya juu wa jeshi la Urusi anaripotiwa kuuawa baada ya gari kulipuliwa kwa bomu katika kitongoji cha Balashikha karibu na Moscow, katika tukio ambalo limeibua...
CHUO CHA ARDHI TABORA CHAHUISHA MITAALA KUENDANA NA DIRA 2050
Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kimefanya mapitio kwa kushirikiana na wadau kuhuisha mitaala ya taaluma za Jiomatikia na Mazingira...
Wakuu poleni na kazi. Niende kwenye hoja.
Kwa saa ishirini na nne zilizopita kumekuwa na sauti (audio) mtandaoni ikidaiwa ni ya Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby akiwaelekeza watu wake...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekuwa ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa...
Nashindwa kuelewa kabisa hizi benki zetu, ukiingi unakuta dirisha Moja au ukibahatisha mawili tu ndio yanafanya kazi Kati ya matano, na wateja kwenye foleni ni wengi.
Nashindwa kuelewa...
Dhamira ya Serikali JMT ya kuboresha mazingira ya kufanya Biashara Tanzania bado ni ndoto ya alinacha. Ukiwasikia viongozi wa kitaifa wanahubiri unaweza ukaona nchi ya ahadi iko karibu kuifikia...
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua...
MNAKUMBUKA NILISEMA, HIZI NI SAA NA HAKUNA KESI HAPA
Kwanza nitakuwa wa kwanza Leo kuugana Mwamposa kwamba hapa hakuna mmasai , hebu angalia hizi picha na sura hawa ni wamasaia ? Okey hata kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.