Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,658
- 2,596
Akisoma Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2026/27 Bungeni, Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar amesema Katika Bajeti ya 2026/27, matokeo ya awali ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi nchini (IHBS) wa mwaka 2025 yanaonesha kuwa, umaskini wa mahitaji ya msingi umepungua kufikia 25.%.
Amesema kuwa "Kulingana na matokeo hayo, kaya maskini zilizonufaika kupitia programu ya uwezeshaji wa kaya masikini - TASAF zimepungua na kufikia asilimia 6.7% ya watu nchini mwaka 2025 kutoka 8.4% mwaka 2017/18."