Miaka ya Binadamu ya kuishi ni 80

Miaka ya Binadamu ya kuishi ni 80

Shytown

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2025
Posts
944
Reaction score
1,664
Fikiria unapengine miaka 50 au 60, inamaana miaka yako ya kuishi iliyobakia hapa duniani NI pengine 10, 20 au 30 hivi na hii ni kwa mujibu wa Biblia.

Unakuta kwa umri wako wa sasa ndio umebobea kwenye Kuiba mali za watu kwa nafasi yako;
  • Unadhulumu watu hasa wasio nawa kuwasemea, masikini, mayatima nk
  • Unapindisha sheria ILI ujinufaishe mwenyewe,
  • Unatesa watu kwa uchawi na ushirikina kwa sababu ya wivu na husuda
  • Una ua watu kwa tamaa ili uzidi kujitajirisha
  • Ukifanya biashara unapunja watu kwenye Mizani ili uzidi kuwa tajiri
  • Unachukua mashamba, viwanja nk unajilimbikizia halafu baada ya miaka 20/30 haupo tena
  • Unanyima watoto wa masikini nafasi za kazi unawapa wenye sifa za kuunga unga wenye hela
  • unatumia hela ya wizi kujenga majumba ya kifahari kila pahala kama kilivyokuwa kizaz cha Dhamud kilicho angamizwa na Mungu mwenyewe...
Utalimbikiza mali kwa kisingizio cha Watoto na siku unakufa wana anza kuuza kimoja baada ya kingine huku wewe miaka 20 AU 30 ijayo ukienda kuambulia adhabu kali na ambayo haina mwisho kwa Mungu.
Kumbuka huwezi kutubu, toba inayokubalika huku umejilimbikizia mali za dhuluma ndani.....na pengine unaendelea kudhulumu (kujilimbikizia)

Tusichukulie mzaha; SIKU ZA MWISHO NI NGUMU SANA ZAIDI YA UGUMU WOWOTE UMEWAHI KUUWAZIA HAPA DUNIANI....

Mali zako, Watoto wako, marafiki zako, mchungaji/sheikh wote hawataweza kukusaidia chochote!
 
Haya mambo ya siku ya mwisho ni kujifariji , tunaishi mara moja ukishindwa kujipambia na kupambania haki zako ,utabaki ukijiraji tu .
Kwa wale waliosoma Science vizuri wanajua kuwa, kwenye systerm kuna mahala inaenda kutoa majibu.
Mfano; Jua linapowaka linatoa nguvu approximately $380 billion terawatts kwa sekunde; hii inaonesha kabisa kuwa, kuna siku jua litazimika kabisa au litapungua nguvu na ndio mwisho wa dunia.

Lakini pia; mtu hawezi kupindisha sheria (kwa mfano) na kuchukue shamba la mtu halafu iishie tu hapo; LAZIMA kuna mahala ambapo haki itatolewa (system inaenda kuleta majibu).
WANA SCIENCE WANAKUBALIANA KUWA, HAPO MAHALA SYSTEM ITATOA MAJIBU NA NDIO VITABU VYA DINI VIKATUAMBIA NI DAY OF JUDGEMENT!
 
Kwa wale waliosoma sayance vizuri wanajua kuwa, kwenye systerm kuna mahala inaenda kutoa majibu.
Mfano; Jua linapowaka linatoa nguvu approximately $380 billion terawatts kwa sekunde; hii inaonesha kabisa kuwa, kuna siku jua litazimika kabisa au litapungua nguvu na ndio mwisho wa dunia.
Lakini pia; mtu hawezi kupindisha sheria (kwa mfano) na kuchukue shamba la mtu halafu iishie tu hapo; LAZIMA kuna mahala ambapo haki itatolewa iwe hapa duniani au baada ya kifo (day of judgement)
WANA SAYANCE TUNAKUBALIANA KABISA KUWA, IPO MAHALA HAKI ITATOLEWA NA NDIO VITABU VYA DINI VIKATUAMBIA NI DAY OF JUDGEMENT!
Wanasayansi wa mpitimbi , usipo pambania haki yako, utakufa bila kuipata na maisha yatasonga ,utakua mbolea na mimea itastawi tu, endeleeni kujifariji kwa meneno hayo.
 
Kwa wale waliosoma sayance vizuri wanajua kuwa, kwenye systerm kuna mahala inaenda kutoa majibu.
Mfano; Jua linapowaka linatoa nguvu approximately $380 billion terawatts kwa sekunde; hii inaonesha kabisa kuwa, kuna siku jua litazimika kabisa au litapungua nguvu na ndio mwisho wa dunia.

Lakini pia; mtu hawezi kupindisha sheria (kwa mfano) na kuchukue shamba la mtu halafu iishie tu hapo; LAZIMA kuna mahala ambapo haki itatolewa iwe hapa duniani au baada ya kifo (day of judgement)
WANA SAYANCE TUNAKUBALIANA KABISA KUWA, IPO MAHALA SYSTEM ITATOA MAJIBU NA NDIO VITABU VYA DINI VIKATUAMBIA NI DAY OF JUDGEMENT!
Sayance ndio nini?

Wewe sidhani kama ulienda hata shule.
 
Haya mambo ya siku ya mwisho ni kujifariji , tunaishi mara moja ukishindwa kujipambia na kupambania haki zako ,utabaki ukijiraji tu .
Usichukulie mzaha; SIKU ZA MWISHO NI NGUMU SANA ZAIDI YA UGUMU WOWOTE UMEWAHI KUUWAZIA HAPA DUNIANI........
 
Mwingine niliona kaja na miaka 70 ?

Mmetumwa na nani kuleta taharuki ?

yani hamtaki kuona watu wametulia
 
Mkuu, hayo mambo unayoyaasa hayawezi kuisha as long as binadamu ni kama Mnyama lazima aishi katika kutafta satisfaction iwe kwa kuumiza wengine au lah
 
Mkuu, hayo mambo unayoyaasa hayawezi kuisha as long as binadamu ni kama Mnyama lazima aishi katika kutafta satisfaction iwe kwa kuumiza wengine au lah

UKISOMA BIBLIA; AMRI KUU 10 ZA MUNGU, UTAKUTA KUWA, TAKRIBANI SABA (7) ZINAHUSU BINADAM NA BINADAM NA TATU TU NDIO ZINA MUHUSU MUNGU MWENYEWE MOJA KWA MOJA,
HIVYO KITAKACHOINGIZA BINADAMU KWENYE MOTO WA MILELE, NI MATENDO YA BINADAM KWA BINADAM...
ANGALIA UNAVYOISHI NA WATU WENGINE, ANGALIA NJIA UNAZOTUMIA KUPATA KIPATO CHAKO, KUJILIMBIKIZIA MAJUMBA NA VITU VYA FAHARI AMBAVYO HUJAVIPATA KIHALALI.....utakuja kulia na kusaza meno!
MUNGU HADHIHAKIWI......Muda bado tunao wa kujirekebisha na kupata uzima wa milele....
 
UKISOMA BIBLIA; AMRI KUU 10 ZA MUNGU, UTAKUTA KUWA, TAKRIBANI SABA (7) ZINAHUSU BINADAM NA BINADAM NA TATU TU NDIO ZINA MUHUSU MUNGU MWENYEWE MOJA KWA MOJA,
HIVYO KITAKACHOINGIZA BINADAMU KWENYE MOTO WA MILELE, NI MATENDO YA BINADAM KWA BINADAM...
ANGALIA UNAVYOISHI NA WATU WENGINE, NA NJIA UNATUMIA KUPATA KIPATO CHAKO.....
MUNGU HADHIHAKIWI......Muda bado tunao wa kujirekebisha na kupta uzima wa milele....
Mkuu huyo Mungu unaye mlilia hayupo
 
Back
Top Bottom