Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

BREAKING NEWS. Basi la kampuni ya Coastline lililokuwa linatoka Mwanza kuja Moshi via Arusha limepata ajali mbaya maeneo ya King'ori- Kiwandani mida hii ya saa mbili usiku. Idadi ya majeruhi ni...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Wasalaam, Hilo jina bila shaka linajulikana na liliwahi kuwa maarufu Tanzania. Kiufupi ni kijana aliyekufa akiunga mkono azimio la Arusha. Ninachojiuliza ni kimoja tu,kufuatia hii tabia mpya ya...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimeelezwa na Ndugu yangu kuwa Hotel levy au Service Levy ya Hoteli pia imefutwa?. Naomba kwa mtu aliyefuatilia bajeti anipe jibu.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wakuu, Samahani naomba kusaidiwa beti zote za huu wimbo wa dini sikumbuki vizuri unavyoanza ila nakumbuka sehemu hii," ..... unapo wazuru wengineee... usinpiteee" Natanguliza shukrani za dhati.
0 Reactions
4 Replies
714 Views
Ukifika office ya TIGO Makumbusho unaenda Kule nyuma utaona barabara inachimbws. A Breda inaenda makubmbusho stend unaivuka unaona kamtaa ka barabara ya vumbi kadogo hakatoki utaona ukuta...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Zanny (45), ambaye kwa waumini wenzake alikuwa akijulikana kama ‘Mzee Zanny’ au Uncle Sam kama walivyokuwa wakimwita marafiki zake, aliuawa juzi kwa kupigwa risasi mguuni na mgongoni nje ya ofisi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Dereva taksi, Rashid Yusuph(23) amehukumiwa kifungo cha miaka 45 jela, baada ya kupatikana na hatia ya unyang'anyi wa kutumia nguvu. Yusuph ambaye ni mkazi wa Kimara Mbezi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Anamuandama Hata Pasipo Ulazima Wengine Wakifanya Makosa Hawasemi Jamaa Yangu Kapanga Jambo Flani La Kumkomesha Vp Atumie Mbinu Gani Kumkomesha Ili Nae Aumie? Ofisa Anapenda Rushwa Sana Kafukia...
0 Reactions
9 Replies
882 Views
Habari zenu mabibi na mabwana, Nina maswali yananitatiza sana kichwani kwangu juu ya nani mwenye mamlaka ya kulitumikia taifa bila bughuza na kuheshimiwa mawazo yake. Leo nilikuwa natizama...
17 Reactions
115 Replies
9K Views
  • Redirect
Bajeti imesomwa ila sijasikia mambo mengi mfano:- -Kuhusu vifaa vya ujenzi -gharama za mawasiliano -watumishi na mahitaji yao eg.kima cha chini -upatikanaji wa maji na huduma za afya hasa vijijini...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu wapendwa tupo katika wakati mgumu kimaisha japo nasema hivo kwa walio wengi wako hivo inakuaje linapokuw alimetokea tatizo tunawahi kulaum na kuja juu kwa bila kutafakari mfano. Timu...
0 Reactions
1 Replies
330 Views
Mh Raisi hongera kwa majukumu ya siku hadi siku Ninaitambua dhamira yako njema kwa watanzania wakipato cha chini kupitia "elimu bure" Kutokana na uwezo/bajeti ndogo kwa wanafunzi wa elimu yajuu...
0 Reactions
2 Replies
622 Views
Katika Pitapita Zangu Mtaani Nimemkuta Jamaa Anafurahia Ndugu Yake Kuteseka Mtaani Kisa Eti Tu Ndugu Yao Yupo Katika Kundi Fulani La Imani Madhehebu Tofauti.Anae Mchukia Tajiri Anaechukiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Redirect
Je kauli ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka Leo kutoka kwa viongozi wetu: 1: kuleni nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe. (Mramba) 2. Foleni dar ni ishara ya maendeleo (jk) 3. Acheni wivu wa kike...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwenye jibu tafadhali..
0 Reactions
Replies
Views
Niliwahi kuandika kuhusu MAFURUKU" Na Leo naandika Kuhusu SENGERETI Najua jibu rahisi itakuwa ni makosa madogo madogo ya kiuandishi... Sawa basi tupeni maana ya hili Neno SENGERETI maana ni Neno...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Redirect
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mkuu alituahidi hatotuangusha.mbona mimi naona tumeshaanguka tena tumeangukia pua na pumzi zinaenda kukata au ni ule msemo wa wahenga kwamba baada ya dhiki...
0 Reactions
Replies
Views
Poleni na MAJUKUMU Ndugu zangu bajeti ya Leo binafsi nimeona ina dalili njema kwa sehemu hasa ikitekelezwa. Ingawa bado kama nchi tunakazi kubwa ya kubuni vyanzo vipya vya mapato tena makubwa...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
  • Redirect
Maumivu tena hakuna nyongeza ya mshahara Kwa watumishi Wa uma kulingana na bajeti iliyosomwa Leo. Mwaka Jana fedha zilizotengwa Kwa mishahara ni sawa na kiasi kilichotengwa mwaka huu=tilioni 7.3.
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Aman iwe nanyi wapendwa Kichwa cha habali kinajieleza vizur sana hapo naomba uhusike nacho Kwanini marais wetu wamekuwa ni wakwepaji wakupwa juu ya adhabu za kunyongwa kwa waharifu wa mauaji...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom