Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna mfanano wa ajabu kati ya wachawi na dini ya mashetani, nao ni kutumia nyama ya binadamu na damu yake kwenye sherehe na makafara yao na sababu kubwa ni kupata ujasiri nguvu na kujiamini...
12 Reactions
176 Replies
32K Views
Wakuu, habari za muda huu. Jana jioni baada ya mihangaiko na pilika za hapa na pale za kusaka tonge, nikajikuta maeneo fulani hivi tulivu, nikaingia kwenye ka-pub flani hivi amazing kwa ajili ya...
21 Reactions
121 Replies
1K Views
Nimeamua kuandika hii mada kama nilivyoahidi baada ya kusoma hapa JF kuwa Lulu binti aliyepitia mitihani mingi katika maisha yake ya usichana anakaribia kuolewa! Nikasema inawezekana miaka ya...
145 Reactions
263 Replies
47K Views
Nilikuwa macho toka saa nane usiku na kuna mtu nikaongea naye kwa simu kama dakika kumi hivi. Kufika saa tisa hivi nikasikia kama kitu kinanyata nje ya nyumba. Nilidhani ni mbwa. Hivyo nikafunua...
129 Reactions
342 Replies
36K Views
Binafsi nimekuwa mfuasi wa Rockstar games.. Nimecheza GTA vice city yote, Pia nilicheza maxpyne ile ya kwanza kabisa.. Baada yake nikacheza San andreas Ambayo sikuimaliza kutokana na marudio...
2 Reactions
5 Replies
80 Views
Naandika makala hii si kwa ajili ya kubeza mila na desturi za wengine au kukosoa utaratibu uliozoeleka kwenye matukio mengi ya furaha. Naandika makala hii kuonyesha siri mbinu na mitego...
23 Reactions
307 Replies
46K Views
Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kudhibiti hali imekuwa mbaya sana serikali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakuwa mbaya...
16 Reactions
125 Replies
9K Views
Hili neno laweza kuwa na tafsiri nyingine kwa wengine lakini kwa watu wa Tanga lina maana yake muhimu ya ugumu ujasiri na roho ngumu Hili nililishuhudia huko Lushoto kwa watu kadhaa waliochanjiwa...
24 Reactions
221 Replies
42K Views
Kuna njia kuu tatu zinazotumiwa na mwanadamu kwa ajili ya usafiri yani kutoa sehemu moja mpaka nyingine nazo ni maji anga na ardhi . Lakini kwa mchawi ni mbili anga na ardhi , majini wengi...
19 Reactions
745 Replies
142K Views
Wa mikoani wamelalamika sana kuwa nimewatenga sijaweka post kuwahusu... Basi hii sasa ni zamu yao watiririke kwa raha zao.. Japo huko kunaweza kuwa na vituko tofauti kabisa na Dar.. Kwa mfano...
23 Reactions
518 Replies
164K Views
Hapo zamani za kale katika nchi isiyo mbali sana na hapa nilipo miti minne ilianza kukua juu ya kilima kidogo. Miti mitatu kati ya miti hiyo minne ikawa yenye ubinafsi, majivuno na kila mara...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu leo nikakumbana na hiyo picha hapo juu ambayo ilinikumbusha kijiji cha Mjimpya, Muheza Tanga. Nilipita hapo kwa mara ya kwanza mwaka 1994 ni kijiji kipo katikati ya mji wa...
15 Reactions
127 Replies
27K Views
Nimetamani kusimulia hiki kisa muda sasa lakini waungwana walikuwa hawajatoa ruhusa bado. Nilipotea kwa vipindi viwili vyenye jumla ya siku 23, kati ya siku hizo ni siku chache sana nilikuwa nje...
40 Reactions
652 Replies
87K Views
Ni alfajiri nyingine tena kunapambazuka.... Kwanza kwa huzuni kubwa naomba nitoe pole nyingi kwa ndugu na jamaa wa mama aliyeuliwa kikatili usiku wa kuamkia jana kwenye uwanja wa transforma...
29 Reactions
154 Replies
22K Views
Kama kuna kitu kina makengeza mengi ni hili la mzee wetu Mangula aliyepata ugonjwa wa ghafla akiwa kwenye majukumu yake na kukimbizwa hospital ya Taifa Muhimbili. Wananchi hatukujua kabla kama...
12 Reactions
101 Replies
17K Views
Kampuni ya Ndege ya Air Tanzania (ATCL) inapenda kuwajulisha wateja wake na umma kwa ujumla kuwa safari za ndege TC422 na TC423 kati ya Dar es Salaam na Moscow zimesitishwa kwa muda kuanzia 4...
4 Reactions
51 Replies
795 Views
Mbunge ashauri Chama cha Mapinduzi kumpitisha Dkt Samia, raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kama mgombea wa uraisi 2030 https://www.facebook.com/share/v/1Bo5jn5G75/
1 Reactions
29 Replies
480 Views
KAMA ULIKALILI TU MAANDIKO KAA PEMBENI HAUKUHUSU Kama mafundisho ya Dini yanatuambia kuwa Mungu ananijua kabla hata sijazaliwa, maana yake anajua kila kitu ninachofanya na hadi nitakacho fanya...
1 Reactions
64 Replies
3K Views
Mwarabu angetangulia kufika pale Moshi kilimanjaro,Mwanza,Iringa,Mbeya mapema sana ungekuta wachaga wote,wanyakyusa,hadi wasukuma ni waislam wanaosali swala 5 nao wangekuwa wanajisifu kuwa kwenye...
7 Reactions
10 Replies
535 Views
Maandalizi kuelekea hafla ya kuhitimisha mafunzo ya askari wa ajira mpya 268 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa) ambapo walianza mafunzo hayo ya kijeshi tarehe 22 februari 2026...
0 Reactions
4 Replies
67 Views
Back
Top Bottom