Wakuuu habari ya wakati,,,,Naamini Mungu anaendelea kutupigania kwenye kila mapito yetu.
Wakuu napenda mnipe ushauri,nataka niichukue Computer kwaajili ya krecodi Audio,,je,ni computer gani...
Amesema jana sheikh Litengule akiwa na furaha sana. Kwa kweli tulisheherekea sana. Ndo maana nlikuwa nawaza toka zamani huyu jamaa yale mashuti mbona kama anafaa faa kuwa muislamu? Takdir...
Hamisa Mobetto awataka Juma Lokole na Maimartha kuacha kumfanya kuwa content ameeleza kuchoshwa na kile alichodai kuwa ni bullying na harassment dhidi yake pamoja na familia yake kwenye mitandao...
Ikitokea Maadui wakatumia hizo drones kufyeka watu masokoni humo sijui stendi. Tutaisha kama kuku. Na sijui kama tuna uwezo wa kukabiliana nazo. Zaidi ya kusifia
Leadership is not the art of being loved by everyone. The moment you stand firmly for something, make difficult decisions, or refuse to bend simply to please others, someone will dislike you for...
Wakuu mimi sina ubaya wowote na single mama. Ninaishi na mmoja wao kwa sasa. Nimekuwa nikiwatetea mara nyingi. Leo nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba kwa wenzangu waliooa single mama wenye...
Had God a plan for the universe before he created it? Did he see in his plan the fate of mankind that they will rebel against his laws, and in his planning he constructed a place/state of...
Kuna tatizo lipo na ni kubwa lifanyiwe kazi
Ndugu zangu naanza na SISI vijana
Baadhi ya SISI vijana tulio wengi tumekuwa wazinzi ,walevi na wavivu wa kufanya kazi si Wana wake wala wanaume...
TANZIA
Kwaya ya AICT Nyarugusu, wanasikitika kutangaza kifo cha Mwl Buluba James (1997-2026)
Mwl Buluba alipotea tangu mwisho wa Mwezi June 2026 alipoiaga familia yake kuwa anaelekea Mkoani...
Bei ya wastani ya tumbaku imeongezeka kutoka Dola 1.95 kwa kilo msimu wa 2025/2026 hadi Dola 2.05 kwa kilo msimu wa 2026/2027, sawa na ongezeko la takribani 5.13%. Ongezeko hilo linaongeza kipato...
Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili?
Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa?
Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in...
Hello wakuu kama wewe ni mtaalamu wa Pyhon, java-script na kutengeneza Apps nicheki haraka iwezekanavyo. Jambo la msingi ni kuwa anahitajika mtu anaejua codes na mifumo sio mtumiaji wa AI
Wakuu Habari za mchana huu
Binafsi niseme, mimi kwa upande wangu kusamehe siyo shida na huwa inachukua muda kufungua moyo, inategemea na ukubwa kosa lenyewe. Naweza kudondosha visa viwili...
Mara baada ya kumpa Yesu Kristo Maisha yangu kuwa Bwana na Mokozi wa Maisha yangu, ndani yangu kiu ya kutaka kumjua Mungu ilizaliwa ndani yangu
Kiu ile ilikuwa kubwa sana kiasi kwamba...
Naitaji msaada wa haraka
Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano.
Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani...
Ijumaa ya tarehe 28 Agosti, nilichapisha hapa jukwaani habari ya walimu wa shule ya sekondari IGANZO iliyopo mkoa wa Mbeya kujaribu kusitisha masomo ya mdogo wetu bila kufuata utaratibu rasmi...
Habari Tanzania !...
Natamani leo hii tungekuwa na utaratibu wa kila kaya iwe na utamaduni wa kulima mboga mboga yaani iwe utamaduni wa Tanzania nzima. Hata kama mtu au familia yake sio wapenzi...
Muda hausimami kwa ajili ya mtu yeyote.
Leo tunasema “bado nina muda”, kesho tunasema “ningejua…” Kila sekunde inayopita haijirudii tena. Pesa inaweza kupotea na ikapatikana tena, mali inaweza...
Sijui ndo uafrika au ujinga ila mambo yanazidi kuwa oveziiii. Barabarani hakuna utaratibu wa kueleweka katika kuendesha vyombo vya moto.
Hawa vijana waliojizira hawana wanachojali wao...
Jeshi la zimamoto na uokoaji ni moja ya Idara iliyopo chini ya wizara ya mambo ya ndani ikijumuisha jeshi la polisi na jeshi la magereza,
Jeshi hili ni mahususi katika shughuli za kukabiliana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.