de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 12,471
- 24,772
Binafsi nimekuwa mfuasi wa Rockstar games..
Nimecheza GTA vice city yote,
Pia nilicheza maxpyne ile ya kwanza kabisa..
Baada yake nikacheza San andreas
Ambayo sikuimaliza kutokana na marudio mengi na tofauti ndogo ya graphics..
GTA 5 sikuipenda kabisa maana haikuwa na jipya ila walijaribu kufanya graphics ziwe nzuri..
Ila baada ya ujio wa GTA 6 naona sasa naweza kurudi kwenye gaming, this is high realism..
Nimecheki wametoa game play aisee imekaa poa sana kuanzia story line mpaka graphics. Naona baadae tutakuja kuona makubwa kwenye gaming maana. This is superb🔥