Wakuu Habari za mchana huu
Binafsi niseme, mimi kwa upande wangu kusamehe siyo shida na huwa inachukua muda kufungua moyo, inategemea na ukubwa kosa lenyewe. Naweza kudondosha visa viwili...
Mara baada ya kumpa Yesu Kristo Maisha yangu kuwa Bwana na Mokozi wa Maisha yangu, ndani yangu kiu ya kutaka kumjua Mungu ilizaliwa ndani yangu
Kiu ile ilikuwa kubwa sana kiasi kwamba...
Naitaji msaada wa haraka
Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano.
Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani...
Ijumaa ya tarehe 28 Agosti, nilichapisha hapa jukwaani habari ya walimu wa shule ya sekondari IGANZO iliyopo mkoa wa Mbeya kujaribu kusitisha masomo ya mdogo wetu bila kufuata utaratibu rasmi...
Habari Tanzania !...
Natamani leo hii tungekuwa na utaratibu wa kila kaya iwe na utamaduni wa kulima mboga mboga yaani iwe utamaduni wa Tanzania nzima. Hata kama mtu au familia yake sio wapenzi...
Muda hausimami kwa ajili ya mtu yeyote.
Leo tunasema “bado nina muda”, kesho tunasema “ningejua…” Kila sekunde inayopita haijirudii tena. Pesa inaweza kupotea na ikapatikana tena, mali inaweza...
Sijui ndo uafrika au ujinga ila mambo yanazidi kuwa oveziiii. Barabarani hakuna utaratibu wa kueleweka katika kuendesha vyombo vya moto.
Hawa vijana waliojizira hawana wanachojali wao...
Jeshi la zimamoto na uokoaji ni moja ya Idara iliyopo chini ya wizara ya mambo ya ndani ikijumuisha jeshi la polisi na jeshi la magereza,
Jeshi hili ni mahususi katika shughuli za kukabiliana na...
Miaka mingi sana kumekuwa na uzushi kwamba nyota ziko 12 ule ni uongo mkubwa sana sasa leo nataka kukuonyesha aina tisa za nyota ambazo kila mtu yupo kwenye kundi lake na utajuaje kwa haraka...
Kwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza.
Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake...
Kwenu NEMC;
Ninaandika kuhusiana na wasiwasi wangu juu ya hali ya uchafu wa mazingira katika miji yetu. Inasikitisha kuona taka zikitapakaa barabarani, katika maeneo ya wazi, masokoni, kwenye...
Very sad, mtu kaenda kanisani kumfuata Yesu, wewe kiongozi wa kanisa kutwa nzima ni kumsakama tu binti yangu ili ulale naye.
Msichana kakukataa umeanza kumsambaza eti ni mwizi, hii sio sawa...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Zamani stand ilikuwa kisutu. Palipokuwa mjini sana wakapeleka Ubungo kijijini. Ubungo palivyochangamka, wakapeleka Mbezi kwa Magufuli. Mbezi kwa Magufuli kukichangamka...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliopishwa hususan Wakuu wa Mikoa kwenda kutekeleza majukumu yao kwa kujiamini na kuchukulia dhamana...
Nimeshangaa mbunge wa gairo kukopesha pikipiki 300 kwa vijana jimboni kwake, kwahiyo pikipiki ndio imekuwa ajira rasmi? Mbona kama kwa upeo wangu ni kama tunaenda kuliangamiza taifa?
Mwaka jana...
Kwangu mimi, hii ni moja ya changamoto kubwa sana kwa wasomi wengi siku hizi.
Nimetumia mfano wa kocha na mchezaji kwa sababu ili uwe kocha mzuri, mara nyingi unatakiwa kwanza kupitia level ya...
Kauli hii inatoka katika Wafilipi 2:3 inayosema: "Msitende neno lolote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake."
Maana ya...
Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limeeleza kuridhishwa na maandalizi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo (MOI) katika kutoa huduma za tiba za michezo kuelekea Mashindano ya...
Matukio ya ukatili wa kingono yanaendelea kuripotiwa nchini huku baadhi ya kesi zikihusisha watoto wadogo.
Leo, Septemba 2,2026, jeshi la polisi mkoa wa Mbeya limetangaza kumkamata kijana mwenye...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobass Katambi ametoa wito maalum kwa baadhi ya Wasanii na watu maarufu mitandaoni kwa kikao maalum ambapo amesema ajenda atakazojadili nao ni za kiserikali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.