Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia zaidi ya asilimia 67. : 𝐌𝐑𝐀𝐃𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐊𝐀𝐊𝐀𝐓𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐎𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀 𝐋𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 Huu ni miongoni mwa Miradi ya kimkakati...
0 Reactions
0 Replies
42 Views
1.AMANI YA NCHI YETU 2.UMOJA WA KITAIFA 3.TUOMBE KWA AJILI YA VIONGOZI WETU 4.UCHUMI WA TAIFA 5.UTAWALA WA HAKI NA SHERIA Chochote Mungu atakachokuongoza kuomba KWA AJILI ya NCHI yetu omba mana...
3 Reactions
35 Replies
202 Views
Naweza kusema kwamba Mh. Jakaya bwana enzi zake watu walikuwa huru sana, Huyu mzee bwana licha ya mapungufu yake, kuna vitu alifanya watu nadhani mpaka kesho watamkumbuka na kumuheshimu. Picha...
3 Reactions
2 Replies
64 Views
Wakuu kumekucha.Kuna ishu Moja hapa ngoja niiseme hapa mnishauri.Kuna bibi Mmoja hivi hapa jirani nilipopanga. Huwa tukionana tunasalimia fresh mambo mengine yanaendelea Kuna muda ananiomba...
0 Reactions
3 Replies
402 Views
Kuna maisha baada ya kufa, au tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu? Hili ni swali ambalo limekuwa likiwagawa watu kwa karne nyingi. Wapo wanaoamini kuwa kifo ni mwisho wa kila kitu, hakuna fahamu...
7 Reactions
59 Replies
829 Views
Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza kuanza kwa operesheni ya nchi nzima dhidi ya raia wa kigeni wasio na vibali na wanaoendesha biashara ndogo ndogo, maduka ya rejareja, vibanda na biashara za...
1 Reactions
1 Replies
64 Views
Tarehe 13/3/2018 nilisikiliza taarifa ya habari saa mbili usiku kutoka startv. Habari ilisema kwamba wafanyabiashara wanalalamika kwa kunyanyaswa wakikutwa na mabondo na hutozwa faini ya sh...
3 Reactions
32 Replies
19K Views
Moja ya njia halali wanayotumia wanawake kufanikiwa ni kutumia nyota za wanaume kwa njia halali mfano kuna wanawake wanaingia kwenye mahusiano na watu maarufu baada ya mda nawao wanakuwa maarufu...
2 Reactions
7 Replies
54 Views
Miaka 16 iliopita What will happen miaka 15 ijayo. Ukijiangalia wewe hapo miaka mitano iliopita upo vile vile , upo stuck katika matrix ya kipato cha kupanda kati kati na chini (chini ndio...
7 Reactions
47 Replies
314 Views
Kufuatia kuwepo kwa mjadala kuhusu kauli ya ya kutengwa kwa Kata 10 zilizopo Halmashauri ya Mansapaa ya Temeke kwa ajili ya matumizi ya bandari. Mkuu wa Wilaya ambaye anadaiwa kutoa kauli hiyo kwa...
0 Reactions
16 Replies
191 Views
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram muda mfupi baada ya kuchapishwa kwa hoja ya Mdau...
3 Reactions
9 Replies
474 Views
Tazama , wanasiasa wanavyofanya manipulation Wanaua , wanatesa but nothing is happen to them Kama umri wanaishi miaka mingi na wanazidi kuwa na maisha mazuri wao na vizazi vyao .
1 Reactions
2 Replies
41 Views
Je nikupanda kwa garama za bidhaa au kushuka kwa garama?
0 Reactions
2 Replies
18 Views
Lengo la wazungu lilikuwa nini hasa walipoyabadili majina ya mashariki ya kati kuyafanya ya Kizungu mfano Jesus, John, Mathew, Luke au Mark ? Kwa nini pia majina ya Biblia yakipelekwa kwenye...
4 Reactions
45 Replies
302 Views
Anonymous
Mimi ni mzazi mwenye mwanafunzi anayesoma katika Shule ya Sekondari Likamba, iliyopo Arusha. Kero yangu ni kuhusu huduma ya chakula wanayopewa wanafunzi wa bweni. Sisi wazazi tunalipa Shilingi...
1 Reactions
6 Replies
39 Views
Wakuu, leo naomba tuzungumze jambo ambalo linatugusa sote, kutoka Mtwara mpaka Kigoma, kutoka Dar mpaka Mwanza. Suala la gharama za maisha limekuwa kubwa mno kiasi kwamba kila mmoja wetu, awe...
1 Reactions
2 Replies
37 Views
Eti kwamba kama Rais Magufuli ni jasiri au la? Ni Jasiri. Nakiri Ujasiri hu sina.Muungwana hukiri asichokuwa nacho na kumkubali mwenye nacho.Kwanza ule ujasiri wa kupingana na risala ya Marehemu...
2 Reactions
0 Replies
70 Views
https://youtu.be/zUhs8c75ypc?si=gHAZwpRaTLZ_CnRY
0 Reactions
0 Replies
14 Views
https://youtu.be/mqajdPo5EPE?si=0zqavtkoCwjmKbsn
1 Reactions
9 Replies
55 Views
Back
Top Bottom