Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,652
- 729,703
Ni alfajiri nyingine tena kunapambazuka....
Kwanza kwa huzuni kubwa naomba nitoe pole nyingi kwa ndugu na jamaa wa mama aliyeuliwa kikatili usiku wa kuamkia jana kwenye uwanja wa transforma chalinze! Mpaka juzi saa tano usiku alikuwa hai nyumbani kwake (si mbali sana na eneo alipouliwa) lakini asubuhi ya jana alikutwa uwanjani hapo akiwa kafa kifo cha kikatili na mateso makubwa. .mwili unaonyesha alibakwa na watu zaidi ya wawili kuvunjwa mikono kunyongwa na hatimaye kutobolewa macho RIP
===============================
Tumejifunza katika masomo yaliyotangulia kuhusu mlango wa sita/mlango wa machale, mara nyingi ikija kama sauti ya kutoa tahadhari au moyo kupasua au kukosa pumzi kila ukikumbuka jambo husika! Ukiwa na fikra yakinifu lazima ubadili mawazo
Sasa huu mlango wa sita hutokea ukaunganisha familia kwa namna ya ajabu kabisa kupitia kwa mama watoto na hata baba mwenyewe
Ninapoandika haya muda huu kuna watu wako kwenye vituo mbalimbali vya usafiri wa majini angani na nchi kavu na wengine wanajiandaa kwenda huko
Ni katika ya watu hao kuna ambao kati yao
= usiku mzima alikuwa akiiwaza hii safari moyo unapiga paa/una shikamooo na kukosa amani
= mke au mume anakosa amani na kukushauri uahirishe safari na ukimuuliza kwanini anakwambia hajui
= mtoto/watoto wanaota ndoto za ajabu na kukusihi usisafiri au kama ni wadogo kulia bila sababu kila unapokaribia kutoka (kuna kule kumlilia mzazi lakini siku hiyo inakuwa tofauti )
Haya ni matukio ambayo kwa namna fulani yanakunyima amani moyoni..unajaribu kujiuliza bila jibu kuna kuna nini leo
Kuna kitu kinaitwa willpower, nguvu ya kutenda bila kujifahamu (ipo willpower ya kuamua kutenda pia, njia zote na ishara zote za kukutahadharisha kuwa uendako sio salama, na kama hiyo nguvu imeamua kukuepusha na janga linalokunyemelea yatatokea haya
= utasahau kufungasha kitu muhimu kitakachokulazimu urudi nyumbani kukichukua
= utaachwa na gari au itatokea dharura yoyote ya kukuchelewesha kufika kituo husika
= kwa sababu nyingine zozote zile utakosa kusafiri kwa kuachwa na chombo husika iwe ndege boat/meli au gari
Utakasirika sana na hata kugombana na aliyesababisha hiyo hali kama si mtu wa kutafakari. ..... ni mpaka pale utakapokuja kupata taarifa za kutisha kuhusu ajali ya chombo ulichotaka kusafiri nacho ndio litakupambazukia kuwa kwanini kulikuwa na mikwamo kiasi kile
Usipoisikiliza ile sauti! Usipotafakari ile mikwamo na ukalazimisha kwa kupingana na ile nguvu ya ndani basi unaenda kukutana na mustakabali wako
Haya mambo yapo na shuhuda ni nyingi mno...sikiliza waliokoka kusafiri na Mv Bukoba nk . utapata ushuhuda wa ajabu kabisa
Na hii si lazima iwe safari ya mbali kuna baadhi yetu mwisho wao waliuona kabisa . siku moja kabla unakuwa ni mtu wa mawazo na kukosa furaha bila kujua sababu ninini...ni mpaka litimie la kutimia ndio watu wataanza kusimulia
Ni muhimu sana kusikiliza sauti zinenazo ndani yetu zina ujumbe gani ...sauti ya ndani ni jicho la kiroho linaona mbele ya muda mavune yaliyokuzonga ndio yanazuia tu kukupa clear msg ya kile kinachotaka kukutokea... .. kabla ya kuchukua uamuzi wowote sikiliza sauti yako ya ndani..utaokoka na mengi