Wakuu habari,
Nina iPhone 14 ambayo imeacha kuchaji kabisa. Nikiweka cable kwenye charging port haichaji kabisa. Nimejaribu njia zote lakini bado haichaji.
Kwa wenye uzoefu na iPhone 14, tatizo...
Haya ni maneno ya kibao cha zamani cha muziki wa dansi "Simba Mwituni" kilichotungwa na kuimbwa na bendi ya Jamhuri Jazz, na wakati mwingine huhusishwa na bendi kama Simba Wanyika, ikielezea hofu...
Hakuna anaendesha maisha yako
Kimazinga ombwe
Hakuna anaeamua ni kiasi gani upate na kiasi gani ukose
Hakuna faraja ya kimazingara au muujiza kwa anaenyanyaswa
Hakuna adhabu ya kimazingaraa...
https://www.youtube.com/live/XCDPRo8_24s?si=IW7oNMtLDpnRMsbH
LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo September 03,2026 ni Mgeni Rasmi ufunguzi wa Kongamano la Tano la Kitaifa Ushiriki wa...
Yani elewa kabisa dunia hii ina watu mashuhuri wengi ambao kazi yao ni kula watu wengine.
Shetani anatoa utajiri na Nguvu, Ukimfata ufanye nae mkataba anakupa Pesa, wewe unatoa ndugu na jamaa...
Mi kazi yangu hapa ni kushusha comment kutoka kwa wadau
JICHO LANGU GEREZANI
“ Simulizi hii ni Ya kweli kabisa hamna mahali nitaongeza chumvi ili kunogesha stori kila ninachokiandika hapa MUNGU...
hivi kwa nini viongozi wa afrika huwa hawapigi picha kama hizi? afrika sub-saharan tuko peke yetu dunia hii kwenye mambo mengi sana, tujaribu kuiga angalau wenzetu rest of world wanavyofanya...
Mabadiliko ya viwango vya kubadilisha fedha tarehe 2 Septemba 2026 yanaonesha kuimarika kidogo kwa Shilingi ya Tanzania (TZS) dhidi ya Dola ya Marekani (USD) na Rand ya Afrika Kusini (ZAR)...
2-8-2026 mafuta ya Diesel na Pertol yameshuka zaidi, LATRA simameni na Mheshimiwa rais na wanyonge, shusheni nauli mfumukom wa bei uondoke.
Nauli zilipandishwa kwenye Marekebisho yalitangazwa...
FREEDOM is not only about Freedom of Speech and Freedom of Movement but also Freedom to access individual life and emotional freedom in Love. Freedom of choice whether is good or bad. Every one...
MOROGORO, Septemba 2, 2026 — Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeandika historia katika sekta ya utalii baada ya kutwaa tuzo mbili za kimataifa za World Travel Awards 2026...
Habari
Mkoa wa Dar es salaam, Wilaya ya Ilala, eneo linaitwa Majohe maduka sita
ukiwa Gongo la mboto unapitia njia ya chuo cha Kampala kama unaenda chuorada kuna kituo kinaitwa maduka sita kua...
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Abel Charles, Mkazi wa Mtaa wa Mambi, Kata ya Mafisa, Manispaa ya Morogoro amefariki dunia baada ya kudaiwa kushambuliwa kwa panga na Mke wake wakati wakiwa...
Tumeshuhudia maelfu ya Watanganyika wakimiminiwa risasi na kuuawa, miili yao haijulikani ilipo.
Vijana wasio na silaha kama Humphrey Polepole ametekwa na haijulikani yu wapi.
Watu kuzuiliwa...
Serikali imeendelea kuchukua hatua za kuimarisha sekta ya elimu kwa kuongeza miaka ya elimu ya lazima, kupanua fursa za elimu ya sekondari na kuimarisha mafunzo ya ufundi ili kuwapa vijana uwezo...
Watanganyika tusikubali kutolewa kwenye reli hata kwa dk 1 hawa, watu wanatunyonya wanatengenezea vizazi vyao viwe na future nzuri.
Angalieni mazingaombwe tunaletewa mara mtoto wa Hamisa mara...
haya mambo jamani kuna atakaejenga
hawa watu wanafharau serikali ama
mbona hivi wamepandisha bei tu.epiga kelele wameanza kudai mzigo haupo aisee
mnatupeleka wapi jamani
angalieni wenye nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.