Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
SWALI:kwanini wanaume asilimia Kubwa kama sio wote akiitwa.., mwanamke Anakasilika yani Akifananishwa na Msichana anakasilika? sababu ni nini? FUNGUKA? Vp wewe mwanamke ukisikia mwanaume...
0 Reactions
– Replies
– Views
Sio ajabu tena kusikia taarifa kuwa viongozi fulani wa CHADEMA wamezingirwa majumbani kwao kila kunapokuwa na maandamano. Sisemi kwamba wao wanapenda kuzingirwa. Hapana. Lakini kuna jambo...
1 Reactions
0 Replies
67 Views
Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba rafiki yetu na mwanaJF mwenzetu Bishop Hiluka anaumwa sana na amelazwa Muhimbili wodi ya Mwaisela. Hali yake hairidhishi ********** TANZIA Tumepata...
32 Reactions
159 Replies
4K Views
Mr nice aliimba nyimbo inaitwa kikulacho. Ni kweli kikulacho hakitoki mbali ni wewe na watu wako wa karibu. Ukiwa mdadisi mzuri wa kuelewa nitafutie mtu mwenye mafanikio au tajiri kuwa na kila...
4 Reactions
9 Replies
231 Views
Wakuu, hali ya usalama duniani inazidi kuwa ya wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za hivi punde kutoka Mashariki ya Kati. Jeshi la Marekani kupitia Kamandi yake Kuu (CENTCOM) limethibitisha kufanya...
3 Reactions
15 Replies
409 Views
Naandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo, Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na...
29 Reactions
118 Replies
7K Views
Taarifa Kamili hii hapa TOA MAONI YAKO
4 Reactions
20 Replies
829 Views
TTCL ni moja ya taasisi muhimu sana katika historia ya mawasiliano Tanzania. Ilikuwa uti wa mgongo wa mawasiliano ya taifa kwa miaka mingi. Hata hivyo, leo hii TTCL inaonekana kufeli au kuendelea...
1 Reactions
39 Replies
761 Views
Niliwahi kufanya kazi kwenye taasisi moja ya Wahindi inaitwa Aga Khan. Aisee, kwa suruba nilizozipata kwenye taasisi ile, sitamani tena kufanya kazi kwa Wahindi. Kwanza kabisa, ili Mhindi...
15 Reactions
67 Replies
3K Views
Shalom wapendwa, Wengi wasiolewa wanasikitika kwa kinachoendelea South Africa. Mimi ni mmoja wa wanaofuatilia zile video zao. Kwa kweli inasikitisha na ni aibu. South Africa ilikuwa shamba la...
7 Reactions
27 Replies
655 Views
1. Kwanini msibani wanaume hawalii ni wakamili sana au kujikaza tu ? 2. Kwanini wanawake ndo huwa wanalia msibani ni udhaifu au ni mazoea? 3. Ni mara chache sana kukuta mwanaume msibani analia...
3 Reactions
16 Replies
224 Views
Dalali hana tofauti na askari polisi wote ni matapeli na hata ukiwa karibu nae au ni ndugu yako kuwa makini kukugeuka ni dk 1 Dalali unamuita kuangalia nyumba anakuuliza kodi sh ngapi nikuletee...
1 Reactions
8 Replies
252 Views
Mmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa? Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe...
19 Reactions
73 Replies
943 Views
Brac Tanzania Ni mateso kwa mafisa mikopo maana wanalizimishwa kulipia wateja wao marejesho ambao hakuleta rejesho, ukishindwa kufanya hivyo unafukuzwa kazi.
1 Reactions
4 Replies
158 Views
Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk. Sina mtoto wala...
28 Reactions
105 Replies
2K Views
Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC kwa wajasilimali wadogo hapa Tz Hii kampuni imekuwa ikitanabsisha kutoa ajira kwa vijana wetu wa kitanzania amabo kazi zao ni kusaidia kupata wateja wa kuwapa...
0 Reactions
1 Replies
153 Views
Nimeangalia video nyingi za Dodoma sijawahi kuona mazingira ya uswazi Ukizingatia jiji la Dodoma lina population sawa na jiji la Mbeya lakini Mbeya uswazi upo wa kutosha ukiangalia aerial view...
10 Reactions
51 Replies
1K Views
Waliokufa wengi wanatamani hata wapate dakika chache warudi kurekebisha makosa yao. Na mwandikia hapa ni marehemu job ndungai kama nahisi anatamani hata hawa waliopo na kiburi wajiulize baada ya...
7 Reactions
31 Replies
443 Views
Bullying ni yale maisha ambayo leo ukienda hospital utapata aina nyingi ya wanadamu wameweza kukumbana kwa kila aina kulingana na sehemu wamekutana na mifumo, mazingira,afya,jamii na kila aina...
1 Reactions
0 Replies
107 Views
Back
Top Bottom