bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 836
- 2,805
Dalali hana tofauti na askari polisi wote ni matapeli na hata ukiwa karibu nae au ni ndugu yako kuwa makini kukugeuka ni dk 1
Dalali unamuita kuangalia nyumba anakuuliza kodi sh ngapi nikuletee mteja we unamwanbia ni sh 300,000 kwa mwezi yeye anakuambia baba tulia hapa nakuletea mteja wa laki 6 wapo angalia hiyo post ya dalali tapeli wa kinondoni je hiyo nyumba ina thamani ya laki 6 kwa mwezi mwananyamala?
View: https://www.instagram.com/p/DaaY-0VsI5t/?igsh=MTR4M3YyODNmb2Rpdg==