Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC

Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
315
Reaction score
397
Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC kwa wajasilimali wadogo hapa Tz
Hii kampuni imekuwa ikitanabsisha kutoa ajira kwa vijana wetu wa kitanzania amabo kazi zao ni kusaidia kupata wateja wa kuwapa mikopo na mikopo hiyo Ina ya aina mbili
1.Mikopo ya vikundi
2. Mikopo binafsi
Changamoto wanayopitia hao vijana (CO) walio ajiriwa kwenye hiyo kampuni kutoa mikopo ni Kwamba endapo mteja hasipoleta / weka rejesho lake wewe afisa mikopo utatoa pesa Yako kumlipia ilo rejesho
Usipofanya hivyo kazi unapoteza.
Tuhuma utakazopewa ni Kwamba ni Kwamba umeshindwa kusimamia malengo ya kampuni
Pili ni Kwamba unawachafua Wabangaladeshi ambao ndo wamiliki wa BRAC MICROFINANCE TZ
Waziri wa ajira uliingilie ili
 
Back
Top Bottom