Mteja akishindwa kulipa rejesho lako unaandikishwa barua ya maelezo pia watu wako wa karibu yaani wazamini waliokuzamini wakati wa kuajiriwa wanapigiwa simu.
Habari jamii forum,
Mimi ni mdau kutoka Mpanda, Katavi.
TANESCO Mpanda wanakata umeme ovyo ovyo. Ni kama vile hakuna mamlaka ya kusimamia.
Yaani kwa siku umeme lazima ukatwe zaidi ya mara 3 na...
1. Ndugu zangu inasikitisha jamii inafurahia Matusi hadharani. Wazazi NAO wanaona ni chanzo cha kipato. Wenzetu duniani wanapambania Innovation za maana hapa kwetu mtoto anachamba mama zake eti...
Tumelipia huduma ya kuunganishiwa umeme Kata ya Moshono hapa Arusha Mjini, ikiwemo gharama za nguzo na taratibu zote zinazohitajika kupitia TANESCO. Hata hivyo, hadi sasa imepita takribani mwezi...
Operator job in Singapore
Location :Woodlands / Tuas
Production: Electric / food
4 days work a week
Salary: $1600-$1700
OT- 1.5
Qualification- SPM and Non-SPM
All are welcome.
Interested can...
Ndugu wadau Nimeipata changamoto baada ya account yangu ya Whatsapp kuwa banned. Nimekuwa nilipenda hizi unofficial apps kama Gb Whatsapp, ila walinionya ya kuwa huwa zina kuwa zinafanya uwe...
Huyu ni mbunge kwa tiketi ya chaumma anadai bunge linatumia pesa nyingi sana lakini mchango wake ni mdogo sana
Kwa nini anasema hivi na upi mtazamo wako?
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro, ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuendelea kufanya uchunguzi wake hadi mwisho kuhusu wanafunzi walioingiziwa kimakosa fedha...
Yale machafuko ndio maana wanatumia nguvu kubwa kufunika sana ili waonekane wema.
Kuna kijana alipigwa risasi ila hakufa basi jitihada za kumkimbiza hospital zikafanikiwa na kupata huduma ya...
Hakika hakika,
Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli Kariakoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this...
ONYO: Humu ndani kuna upuuzi mwingi sana [emoji23], kuna lugha za kikubwa, lugha ambazo watoto haziwafai, hata wakubwa wenye ustaarabu haziwafai [emoji6]
SEHEMU YA 01.
Mimi naitwa Sele, napenda...
Wananchi wa Kijiji cha Nabweko, kilichopo Kisiwa cha Irugwa, Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, tunaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa za huduma za msingi.
Kwanza, tangu Tanzania ipate uhuru...
Hivi nyie wanawake akili zenu huwa mnaacha wapi? , bila kupepesa macho hapa.
Mwanamke unafika umri wako wa dhahabu, let's say between 16 to 25 years old.
Kipindi hiki ndio unakuwa kwenye ubora...
Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume.
Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya...
SWALI:kwanini wanaume asilimia Kubwa kama sio wote akiitwa.., mwanamke Anakasilika yani Akifananishwa na Msichana anakasilika?
sababu ni nini? FUNGUKA?
Vp wewe mwanamke ukisikia mwanaume...
Since the launch of ChatGPT in 2022, AI rapidly replaced human labor across industries due to its low cost and high efficiency, driving mass adoption and layoffs. However, widespread enterprise...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.