Hivi Dodoma kuna uswazi kweli?

Hivi Dodoma kuna uswazi kweli?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
6,683
Reaction score
13,736
Nimeangalia video nyingi za Dodoma sijawahi kuona mazingira ya uswazi

Ukizingatia jiji la Dodoma lina population sawa na jiji la Mbeya lakini Mbeya uswazi upo wa kutosha ukiangalia aerial view. Ni wewe tu, mitaa iko kibao hata tunaweza kuorodhesha

Ila Dodoma inanishangaza

Wakazi wa Dodoma, huko Dodoma kwani hakuna slums?
 
Zipo mkuu,Kisasa Kuna sehemu inaitwa kitopeni,pia Ilazo,Nzuguni,chang'ombe,Ndachi nk! Ingawa sio kama Mbeya!
 
Nimeangalia video nyingi za Dodoma sijawahi kuona mazingira ya uswazi

Ukizingatia jiji la Dodoma lina population sawa na jiji la Mbeya lakini Mbeya uswazi upo wa kutosha ukiangalia aerial view. Ni wewe tu, mitaa iko kibao hata tunaweza kuorodhesha

Ila Dodoma inanishangaza

Wakazi wa Dodoma, huko Dodoma kwani hakuna slums?
📌Planet Data bundles was Here
 
Back
Top Bottom