Mmeonyesha umoja na mshikamano wenu kwa dunia nzima, na huo ni ujumbe tosha kwa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliojificha ndani ya vyama vya siasa ikiwa ni pamoja na chadema, na kwamba...
Hv ndivyo nilivyojua na kujiunga JF mwaka 2023 Nilipata idea ya ku GOOGLE hadithi vichekesho n.k sasa kila nikigoogle hadithi kwenye google kuna kuja blog mbalimbali ila kila nikisoma hadithi hua...
Leo tarehe 08.07.2026 shule nyingi zimefunguliwa.
Serikali imekuwa ikitoa matamko kwamba wanafunzi wasirudishwe nyumbani kwa sababu ya kutolipwa kwa michango yoyote shuleni.
Hata hivyo hali ni...
L/G
Hii inatokana na Nini? Na sitaki kuamini ni Africa nzima tupo hivi ila ningependa niwasilishe hii Kwa nchi hii pendwa ya Tanzania
Kwanini? Ni police force na sio police service, unakuta...
Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA".
This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu...
Nimeona umeandika Uzi wangu kuhusu " Bibi Fisi wa Igogo Mwanza " bila ku acknowledge kwamba Uzi umeutoa kwa mtu anae tumia jina la LIKUD at Jamii Forums. Au at least ungesema umeutoa Jamii...
Katika ulimwengu wa biashara ya vinywaji, hususan bia, mataifa mengi yanajipatia umaarufu mkubwa na mapato kupitia usafirishaji wa bidhaa zao nje ya nchi. Lakini Tanzania bado tupo nyuma. Licha ya...
Bodaboda
Bodaboda ni kimbilio la waliofeli maisha, wananuka vumbi, akili za kuku, na kazi yao kubwa ni kuacha wajane na mayatima mjini
Mada
Wakuu, habari za muda huu.
Leo nataka niteme nyongo...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe, amepongeza huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa na Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa...
Wakuu niaje?
Natumai mko poa...
Twende kwenye mada tajwa hapo juu... Je kuna uwezekano wa kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mafungamano na haya madhehebu ya kidini?
Siku za hivi karibuni nimefanya...
Binadamu tu viumbe wa wababaifu sana na tuliyojaa unafiki uliopitiliza..
Leo hii kuna watu wanailalamikia Chama Tawala na Tume yake Huru ya Uchaguzi, kwa kile ambacho kiuhalisia kilikuwa dhahiri...
Nilikuwa napita Morogoro Msamvu uelekeo njia ya Dodoma nimeona kituo cha CNG kinajengwa pale hio ni hatua kubwa sana Kikikamilika mtu anaweza kutoka Dar mpaka Iringa kwa Gesi ya 50k tu , nafurahi...
Yaani nina andiko langu/ utafiti,,,,linalohusu namna ya kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbali mbali ya Tanzania kutokana na rasilimali zilizopo hasa kijijini...
Je?..Kwa kifupi naweza pata...
Naitwa Batuli Selemani Kiberenge, Mwalimu wa shule ya sekondari Mirijo na mkazi wa kijiji cha Mrijo wilaya ya Chemba. Mnamo tarehe 2 Julai 2026 binti yangu mwenye umri wa miaka 8 (jina nalihifadhi...
Viongozi wa CHADEMA wamrudishie Mbowe Chama chake
Mbowe hakuokota CHADEMA bali aliijenga kwa jasho la damu
Yeye ndiye anafahamu namna ya kustawisha CHADEMA
Viongozi wa sasa wa CHADEMA ni...
Mteja akishindwa kulipa rejesho lako unaandikishwa barua ya maelezo pia watu wako wa karibu yaani wazamini waliokuzamini wakati wa kuajiriwa wanapigiwa simu.
Habari jamii forum,
Mimi ni mdau kutoka Mpanda, Katavi.
TANESCO Mpanda wanakata umeme ovyo ovyo. Ni kama vile hakuna mamlaka ya kusimamia.
Yaani kwa siku umeme lazima ukatwe zaidi ya mara 3 na...
1. Ndugu zangu inasikitisha jamii inafurahia Matusi hadharani. Wazazi NAO wanaona ni chanzo cha kipato. Wenzetu duniani wanapambania Innovation za maana hapa kwetu mtoto anachamba mama zake eti...
Tumelipia huduma ya kuunganishiwa umeme Kata ya Moshono hapa Arusha Mjini, ikiwemo gharama za nguzo na taratibu zote zinazohitajika kupitia TANESCO. Hata hivyo, hadi sasa imepita takribani mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.