Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa? Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe...
19 Reactions
73 Replies
943 Views
Brac Tanzania Ni mateso kwa mafisa mikopo maana wanalizimishwa kulipia wateja wao marejesho ambao hakuleta rejesho, ukishindwa kufanya hivyo unafukuzwa kazi.
1 Reactions
4 Replies
159 Views
Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk. Sina mtoto wala...
28 Reactions
105 Replies
2K Views
Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC kwa wajasilimali wadogo hapa Tz Hii kampuni imekuwa ikitanabsisha kutoa ajira kwa vijana wetu wa kitanzania amabo kazi zao ni kusaidia kupata wateja wa kuwapa...
0 Reactions
1 Replies
153 Views
Nimeangalia video nyingi za Dodoma sijawahi kuona mazingira ya uswazi Ukizingatia jiji la Dodoma lina population sawa na jiji la Mbeya lakini Mbeya uswazi upo wa kutosha ukiangalia aerial view...
10 Reactions
51 Replies
1K Views
Waliokufa wengi wanatamani hata wapate dakika chache warudi kurekebisha makosa yao. Na mwandikia hapa ni marehemu job ndungai kama nahisi anatamani hata hawa waliopo na kiburi wajiulize baada ya...
7 Reactions
31 Replies
443 Views
Bullying ni yale maisha ambayo leo ukienda hospital utapata aina nyingi ya wanadamu wameweza kukumbana kwa kila aina kulingana na sehemu wamekutana na mifumo, mazingira,afya,jamii na kila aina...
1 Reactions
0 Replies
107 Views
Kisha, Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Haiwezekani kabisa kusitokee vikwazo vinavyosababisha dhambi; lakini ole wake mtu yule atakayevisababisha. Luka 17:1 BHN Tunaweza kumlaumu aliyefanya...
1 Reactions
1 Replies
86 Views
Wengine huwaita manabii wa uongo, mimi siko huko, mimi nawaita manabii wa kizazi kipya (si mabii wa Kibiblia). Kuna "nabii" mmoja alitoa unabii hadharani kuwa SIMBA NI BINGWA 2026 hata kama Yanga...
5 Reactions
20 Replies
301 Views
Ni aibu sana sana kusema nchi ina haki na domo crazy maana sio democracy mnayo sema ina tawala kwa haki. Leo tarehe 7/7 mnaweza kusema mumeweka amani hapa mfano kariakoo kuwa watu waendelee na...
0 Reactions
3 Replies
112 Views
Mamangi hapa mmejua kutunyoosha, yaani mtu anaweza kutokea Bukoba mjini au Singida akaja kushangaa Marangu. Mikoa mingine uchawi tuwachie mababu zetu sisi tukomae kupendezesha nyumbani. Picha...
11 Reactions
59 Replies
943 Views
Nguvu ya Siri: Kwa Nini Ukimya Ndio Silaha Kubwa Zaidi Kwenye Mifarakano? Fumba macho sekunde moja. Fikiria uko katikati ya mabishano makali. Joto limepanda, nyuso zimebadilika rangi, na maneno...
5 Reactions
22 Replies
373 Views
Salam. Je, ninani mshindi kwenye hili?! Ni yule alieitisha maandamano na (hayakutokea), au serekali iliyo apa kuzuia maandamano na (hayakutokea).? KUMBUKA: serekali imetumia gharama kuzuia...
3 Reactions
9 Replies
159 Views
Ni jinsi gani Africa imekuwa sehemu ya majaribio ya kila aina bila wao kujifahamu. Mzungu anaweza kukosea ila anaweza kukuacha na kujifunza alichokosea. USA kutimiza miaka 250 mpaka taifa kufika...
0 Reactions
3 Replies
76 Views
Tokea mda mrefu kulikuwa hakuna dalili ya watu kuandamana mlitakiwa mtake easy na muache kutisha watu na marisasi na kuwajaza wanajeshi barabarani nyie ndio mnaoharibu amani ya nchi na kututia...
42 Reactions
109 Replies
2K Views
Ndizi mbivu za Dar huivishwa kwa kuwekwa katika chumba maalumu cha kuivishia kwa lugha ya kimombo "Ripening chamber". Wakiongezea na kichochezi cha "Ethylene" vinavyowezesha matunda kuiva kwa...
1 Reactions
7 Replies
181 Views
Dalili ya Mvua ni Mawingu ndungu zangu, Hawa Mkoba online naona kama kazi inataka kuwashinda! Naomba tupeane Mbinu mpya ya kuhifadhi pesa za vikundi ambapo unaweza kuhifadhi kirahisi na kuipata...
2 Reactions
30 Replies
540 Views
Vijana waliokosa akili sasa kidogo akili zinawarudi. Hao wapinzani hutumia matukio kama ya October 29 ili kupata pesa na mpenyo wa kushika madaraka. Walitaka vijana wafe kwa wingi October 29 ili...
0 Reactions
7 Replies
110 Views
Wanawake ukiwawezesha kuna mda ndio tunaona wana tuziaki mitandaoni sababu tume wavusha. Wasukuma waliwezaje mpaka wakaweza kuishi na wanawake wengi. Kiufupi wazee wazamani
5 Reactions
25 Replies
339 Views
  • Redirect
Je, kilichotokea leo siku ya sabasaba ndiyo sababu ya tajiri Dangote kuichagua Kenya badala ya Tanzania?
0 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom