Walimu wa Mkataba (Mradi wa GPE-TSSP): Mikataba inaonesha tumeajiriwa na Wazazi na si TAMISEMI, tuna mazingira magumu.
Ujumbe wa Walimu wa Mkataba chini ya mradi wa GPE-TSSP, Juni 26, 2026...
Hvi inakuaje bando zinaisha ghafla hivi?
Gb kumi natumia jf, fb, insta, na YouTube pekee. Movie sidownload hakuna consumption kubwa na nimewasha data saver alaf GB kumi hazimalizi siku mbili...
Kila siku, mamilioni ya watu hukusanyika kwenye nyumba za ibada wakipiga magoti na kuomba amani, ajira, afya bora, na kupungua kwa umaskini.
Maombi na Dua hutoa faraja ya kiroho na matumaini ya...
Kwa wale wanasema wanawake ni wengi kuliko wanaume. Hii sio KWELI. Ukweli ni kwamba wote tuko sawa, yaani wanaume na wanawake.
NOTE:
idadi ya wanaume Duniani ni 50.5%
Idadi ya wanawake Duniani...
Mimi ni mmoja ya watu wanao amini katika ARDHI hasa zile ambazo hazijaendelea wengi hupenda kuita mapori au bush huko ndio mahali huwa napenda kutupia visent vyangu.
sina tofauti na mtu anae bet...
Amehitimu form four mwaka jana kwa msaada wa mfadhili ambae kwa bahati mbaya alifariki akiwa katikati ya masomo, hivyo kafanikiwa kumaliza kidato cha nne kwa kuungaunga tu lakini alifanikiwa...
kila mtu anajua hili kuna walimu walituvumilia sana mpaka tukafika hapa tulipo leo. Lakini wengi wetu tukishamaliza shule hatukanyagi tena hata kwenda kusema Asante mwalimu.
Je, wewe una mpango...
SPROUTS PRE & INTERNATIONAL SCHOOL – UPANGA, DAR ES SALAAM
Je, unatamani mtoto wako apate elimu bora katika mazingira salama, yenye upendo na yanayojenga msingi imara wa mafanikio?
Sprouts Pre &...
Kuna wakati ushindani unatakiwa ukubali ukweli.
Sio kila kitu unachotengeneza lazima kiwe tofauti. Kuna muda unatakiwa ujifunze kutoka kwa aliyefanya vizuri zaidi.
Nimekuwa nikitumia Merchant...
Leo Julai 7, 2026 ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya Biashara Kimataifa, maarufu kama Saba Saba (77), ambapo mataifa mablimbali hupata kuonyesha bidhaa zao na kuimairisha ushirikiano wa kibiashara na...
Yani mtu unajua kama ana umeme lakini anasambazia wenzie kama hana akili timamu..
SwaliKwanini unasambaza VVU kwa makusudi??
#Ukimwi upo na unaua pima mapema jitambue chukua tahadhari.
Hali ya taharuki imetawala katika Mtaa wa Mabibo Sahara Jijini Dar es salaam baada ya Watu zaidi ya 30 wakidai kupangishwa chumba kimoja na Mtu anayetajwa kuwa Mmiliki wa nyumba, ambaye kwa sasa...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya...
Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni.
📢 Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia...
Leo nilikuwa na rubani tukipata bia nyumbani.
Ananiambia hakuna mtu mwenye akili timamu ukaweza kumpa ndege za urusi ambazo zimejaa saa kila kona kiufupi ni vipima vyilivyo kwenye mfumo...
Hakika mtu ukiwa hauko karibu na maeneo tajwa hapo juu,unaweza ukadhani Tanzania Haina hata kimoja inachouza nje lakini sio kweli bidhaa nyingi tu zinapelekwa nje ya nchi.
Kwa mfano hapa kiwanda...
Yule Zuwena Wa Jana Sio Wa Leo Tena,Yule Zuwena Mpole,Mnyenyekevu na Muungwana Si Huyo Tena,
Kawa Kiburi,Mjivuni Na Asiejali Lolote tena.
Ama Kweli Muda Ni Kamera Sahihi Ya kutoa Taswira Halisi...
Wakuu Habari za Uzima, Wapi naweza Nikapata Sehemu ya Kujifunza Kupiga Picha "Photography" !? Sina Pesa ya kujifunzia ila nikipata Mfadhili au Sehemu ya kujifunzia Bure Nitashukuru, Nimeona niwe...
Mimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa.
Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.