Wakuu kuna moments huwa binadamu tunazipitia, zinakuwa ni nyakati ngumu zinazokupa mzigo kichwani kias kwamba unakata tamaa kabisa unajiambia moyoni hapa sitoboi dadek, ila unajipa moyo ngoja...
Wananchi Iringa wamejitokeza kupata huduma mbalimbali zinazohusiana na masuala ya ardhi katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika viwanja vya Posta Garden, Iringa Mjini.
Kliniki hiyo inatoa...
Kama kuna watu whuni, wanyama katili na wenye rohombaya sana basi hawa ndugu wanaongoza.
Wao wanachojua ni mashindano yq kukusanya pesa tuu na kuzitumia kwenye mambo binafsi ya kifahari na...
Sayansi inathibitisha kwamba kiasili kila binadamu ni kichaa (uchizi wa akili), kinachotofautisha ni viwango vya asilimia, utashi na uthubutu
Asilimia zikiwa kubwa utashi huwa mdogo sana na...
It's all about survival..
Mwanamke haangalii upendo kutoka kwako tu, kama sisi tunavyo waona.
Mwanamke cha kwanza anachoongea ni uwezekano wa provision, na safety.
Ndo maana sijawahi kuona...
Hili la mtu kuchomwa baada ya kufa sio common sana kwa Afrika lakini kuna baadhi ya Waafrika eti akifa anachagua kuchomwa badala ya kuzikwa mwili mzima.
Mimi hii naiona kama cult kwa sababu...
Msanii wa Mziki Chriss Brown amesema anachukia Tasnia ya Mziki na Mastaa wake. Sasa tukihusianisha na yale ya Pdid, R Kelly na haya ya hapa nyumbani ni dhahiri kuna ukweli na ndio maana hata...
Jamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza
Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa...
Katika ulimwengu wa siri na mambo yasiyoonekana, mjusi si kiumbe wa kawaida bali ni chombo kinachotumiwa kama daraja la kusafirisha nguvu za giza na gono la wachawi.
Sauti zao za usiku za "gubu...
Kuna kipande nimepita pale maeneo ya Mbezi kibanda, kuna kijumba kando ya daraja huwa wanakutana na adha mara nyingi wakati wa mvua,haswa inapoongezeka kidogo tu (juu ya wastani)na maji ya mto...
Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani.
Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" ,
😁😁 no bro, you are just dumb...
Huu ndio ukweli mchungu watanzania wengi wamewahi kwenda kwa wataalam ila huwa ni siri ya kufa nayo kaburini, hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga
wahalifu hasa wa...
Nimekutana na baadhi ya clip za mashehe, wakielezea namna wanakopaita peponi kutakavyokua na starehe kwa watakaoenda.
Moja kati ya starehe walizozitaja ni kuwepo kwa mabikra wa kutosha kwa kila...
Raha Za Peponi
(hedhi) wala nifasi, hawaendi choo kama ilivyo kwa hali Nao wake hao hawatakuwa wakiingia katika siku za huku duniani, Wala hawatazaa, wala hawatatokwa na manii.
Anasema MWENYEZI...
Bajeti ya mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa elimu ya juu imeongezeka hadi Shilingi trilioni 1.06, hatua inayolenga kuongeza fursa kwa wanafunzi wengi zaidi kupata elimu ya juu na kupunguza...
Kwa mfano, ukiwa unaongea na mwanamke utasikia akisema, 'nilikuwa naomba' unisaidi buku tano.
'Nilikuwa nauliza' kwamba mandazi shilingi ngapi.
'Nilikuwa naomba' uniruhusu kwenda nyumbani...
Kama unamsikiliza mtu kupata taarifa zinazokusaidia kujibu maswali tuliyozoea— ‘nini’, ‘wapi’, ‘nani’, ‘lini’, bado hujamsikiliza vizuri. Unaweza kujibu maswali hayo yote na usimuelewe mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.