Mzee huoni hiyo ni akili mnemba!Naomba kujua ,huu msitu haya majoka yapo ,kama yapo mda wote
walikua wanaeleza hayo kwa lugha gani mekuKuna clip niliona wakazi wapembezoni mwa amazon wakidai wanaogelea mito yenye anaconda humo humo wanadai ni nyoka wapole mno na ni nadra sana kushambulia binadamu
Kwa lugha yao mwenyeji akawa ana tafsiri kwa kingerezawalikua wanaeleza hayo kwa lugha gani meku
Hahahahha,,Samia ana akiri sana sema ni mwanamke aliezungukwa na mashetani na tambua amechukua nchi ktk wakati mgumu ..kwa mazingira anayopitia anajitahdi ila wasira. Ni boksi ambalo mtoto kachezea kalitupa sasa ndo wasiraNature ya mazingira inafanya wanyama kuwa wakubwa,wakali hata lishe.Hata ukiwa weka CCM wote kwenye msitu wote utakuwakuta wanafanana na Samia,mwaipopo na wasira.
Una akili za kipumbavu mnoNature ya mazingira inafanya wanyama kuwa wakubwa,wakali hata lishe.Hata ukiwa weka CCM wote kwenye msitu wote utakuwakuta wanafanana na Samia,mwaipopo na wasira.
umepigwa kambaKwa lugha yao mwenyeji akawa ana tafsiri kwa kingereza