KERO YA VYOO UWANJA WA NDEGE MWANZA - WENYE MAMLAKA FANYENI KAZI
Leo nimepata fursa ya kushuhudia hali ambayo, kwa maoni yangu, inahitaji hatua za haraka katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza.
Eneo...
Wekezeni kwa wachezaji,mafunzo,viwanja tupate timu nzuri zitakazopata matokeo mazuri watu wafurahie ushindi na sio mambo ya JEZI (DUNIA NZIMA SWALA LA JEZI ni la wazabuni na wabunifu wao)
Katika kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kufanya usafi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa mwezi mmoja kwa wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo kuondoa msongamano...
My Take
Nilikuwa sijui kama Ugoni na fumanizi unaweza peleka kesi mahakamani na kudai fidia.
===============
Mahakama ya Rufani imethibitisha hukumu ya fidia ya Sh milioni 10 kwa Mkurugenzi wa...
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado anaendelea na ziara ya kijiji kwa kijiji katika jimbo lake, akiwasikiliza wananchi na kupokea malalamiko yao mbalimbali.
Tarehe 24 Steptemba...
Matukio mengi ya kutisha na kushangaza mkoani Arusha yanatafsiriwa na jamii kwa mitazamo miwili tofauti
imani za kiroho/giza (kama vile ushirikina na laana) na sababu halisi za kijamii na...
Wananchi wa Kijiji cha Machemba, Wilaya ya Tunduru wameiomba Serikali kuwapatia vyanzo salama vya maji baada ya kueleza kuwa wanategemea kisima ambacho, kwa mujibu wao, hakikidhi viwango vya...
Septemba 22, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Kituo cha SGR Ruvu hakifanyi kazi kwa karibu ya mwaka sasa, ni lini TRC itakifungua?”
Katika maelezo yake Mdau aliendelea kueleza kuwa “TRC...
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Igeleke iliyopo katika Manispaa ya Iringa wanakabiliwa na mazingira magumu ya kujifunzia kutokana na uhaba mkubwa wa madawati unaowalazimisha baadhi yao kukaa chini...
Zaid alikuwa na mke anaitwa zainab. Alikuwa mrembo kupindukia.
Siku moja muhmd akaenda kumtembelea zaid, akamkuta zainab akiw katika mavazi ya kuvutia, akashindwa kujizuia na kumchukua zainab...
Wananchi mkoani Mwanza waendelea kunufaika na huduma mbalimbali zinazotolewa kupitia Kliniki ya Ardhi, ikiwemo elimu, ushauri na utatuzi wa changamoto zinazohusu masuala ya ardhi.
Kliniki hiyo...
Wananchi wametakiwa kuheshimu mipaka ya ardhi iliyopimwa na kutambuliwa kitaalamu, ambayo ni hatua muhimu katika kuzuia na kumaliza migogoro ya mipaka kati ya vijiji na maeneo mengine nchini...
Habari za ijumaa!
Leo sina mambo mengi.
Ukishakuwa mperuzi wa JF mara kwa mara. Kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukamezeshwa Doctrines humu ndani. Kuna uwezekano mkubwa ukawa moja ya mwanachama bobevu...
Kwanini hawa wadudutu wamekuwa wakali kiasi hiki.
Mbona ni kidonda kinachweza kutibika,kwanini isipatikane mbinu ya kuzuia nzi na kukiweka dawa kwa lengo la kukausha then ngozi iwe salama...
Habari kwako wewe
Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa.
Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.