Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 1,465
- 5,262
Raha Za Peponi
(hedhi) wala nifasi, hawaendi choo kama ilivyo kwa hali Nao wake hao hawatakuwa wakiingia katika siku za huku duniani, Wala hawatazaa, wala hawatatokwa na manii.
Anasema MWENYEZI MUNGU (Subhaanahu Wata'ala):
وَلَهُمْ فِيهَا أَزْوَاجٌ مُّطَهَّرَةٌ
"NA HUMO WATAPATA WAKE WALIOTAKASIKA (NA KILA MABAYA NA MACHAFU)..." (Quran 2:25)
Na kila watakapoingiliwa na waume zao watakutwa ni mabikra. Bikra hii haishi kwa kuingiliwa, isipokuwa inakuwa mpya, hatoki damu wala kusikia maumivu yoyote.
Mtu atapewa nguvu za watu 100 katika unywaji, ulaji na uingiliaji; kisha ataongezewa nguvu zingine zaidi. Mme atamwingilia mke wake kama alivyokuwa akimwingilia huku duniani, lakini Peponi ni kwa muda mrefu, ni miaka 80 ya huko Akhera, bila kufika kileleni!
Ifahamike, siku moja ya Akhera ni sawa na miaka 1000 ya huku duniani. Kwa hesabu ya huku duniani, hiyo ni miaka 28,800,000. Miaka milioni 28! Wakati wote huo, wanasikia ladha nzuri mno na raha kubwa ajabu! Hizo ndizo neema za Peponi! Basi, hakika tutafute Radhi za ALLAH na kila mara tumuombe ALLAH Atujalie tuwe miongoni mwa watu wema, AMIN.
Wala hakutakuwa na janaba inayowasababisha wahitaji kujitwaharisha; wala hawatapatwa na ulegevu (baada ya tendo); wala upungufu wa nguvu za kiume. Bali kuingiliana kwao, ni kwa sababu ya kupata ladha na neema ambayo haina mapungufu ndani yake.