Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa wasioifahamu zanzibar maeneo ya Kizimkazi ndio mashambani kwenyewe. Nimebaini kuna uhaba wa nguruwe na makafiri ni wengi hapa Zanzibar, pia kuna maostadhi wenzangu ambao wanapenda kutia sunnah...
4 Reactions
22 Replies
292 Views
Kiasi cha bia kinachotumiwa Tanzania kwa wastani, takwimu za FAOSTAT zinaonyesha kuwa mwaka 2023 Tanzania ilitumia takriban lita milioni 520 za bia, sawa na karibu lita 7.81 za bia kwa kila mtu...
0 Reactions
3 Replies
125 Views
Suala la KKKT (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania) na Hoteli ya Corridor Springs jijini Arusha linahusiana na mgogoro wa kifedha na madeni uliotokea katika Dayosisi ya Kaskazini Kati ya...
4 Reactions
26 Replies
456 Views
Sio kwamba hawana muda, Ni utamaduni, watu wamezoea kukaa vibarazani kupashana umbea. Wengi kuishi vyumba vya kupanga, do kupika unampika nani kama sio wewe mwenyewe na uvivu wa kupika mwenyewe...
7 Reactions
53 Replies
554 Views
Tuandike tu kama njia ya kuhabarishana na pengine kufarijiana lakini wapangaji wa haya mambo walishatutangulia kitambo sana Waliingilia mifumo yetu na kuivuruga kabisa, wakaharibu tamaduni, mila...
21 Reactions
149 Replies
10K Views
Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume...
80 Reactions
933 Replies
72K Views
Mimi ni mkazi wa Goba Lastanza. Tunaelekea kutimiza mwezi wa pili sasa bila kupata huduma ya maji, hali ambayo imetulazimu kununua maji kutoka kwenye magari. Tatizo hili si geni na limekuwa...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
NB: Translation ya baadhi ya maneno ya Kiswahili yaliyotumika Dinosaria- Dinasours 🦕 Visukuku- Fossils 🦴 Wanasayansi wamegundua spishi mpya ya mnyama wa kale aliyeishi takribani miaka milioni...
2 Reactions
16 Replies
353 Views
“Maana utii wenu umewafikilia watu wote; basi nafurahi kwa ajili yenu, lakini nataka ninyi kuwa wenye hekima katika mambo mema, na wajinga katika mambo mabaya. ” Rum 16:19 SUV Tunaweza kufikiri...
7 Reactions
9 Replies
107 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa uongozi wake mahiri katika kusukuma mbele ajenda ya Afrika ya kutokomeza vifo vinavyoweza kuzuilika vya mama na...
0 Reactions
1 Replies
219 Views
MOSHI Moshi Sports Club imeingia kwenye mvutano wa kiutawala baada ya wanachama 16 wa klabu hiyo kuwasilisha malalamiko kwa Trustees, wakidai kuwa uchaguzi wa viongozi haujafanyika kwa mujibu wa...
3 Reactions
1 Replies
100 Views
Mwana wa Mweusi Maono ya mwanzo na mwisho Sura ya Kwanza: Usiku Ufuoni Mimi Majura, mwana wa Mweusi. Nilizaliwa na kukulia kando ya bahari, mahali ambapo harufu ya chumvi huingia hadi ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
156 Views
Mambo kumi yakuzingatia wakati upo sero ukijiandaa kesho kupanda mahakamani 1: Kama unahojiwa na Wakili Mahakamani usijibu bila kutafakari alichokuuliza 2: Wakili asikuogopeshe kwa ukali...
75 Reactions
191 Replies
15K Views
Habari zenu Napenda kuuliza kule mahabusu unako kuwa umekaa ukiwa unasubiri kesi yako kusikilizwa mahakama baada ya kusogezwa mbele hivi huwa kukoje? Nimepata hili swali baada ya Tundu Lissu...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya kwenye ulimwengu. Je, unashangaa kwanini wasanii wakubwa duniani (na sasa wa Bongo) wote wanatumia ishara zilezile? Je, ni "kiki" au ni Maagizo kutoka...
6 Reactions
4 Replies
188 Views
Watumishi wa Kada ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka serikalini wametakiwa kuwa waaminifu, kutunza siri za ofisi na kuendelea kuzingatia maadili ya utumishi wa umma ili kutekeleza majukumu yao kwa...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Wana-JamiiForums, habari za majukumu Naja mbele yenu nikiomba msaada wa hali na mali wa kupata dondoo yoyote itakayoniwezesha kumpata baba yangu mzazi ambaye sijawahi kumwona tangu nizaliwe...
9 Reactions
26 Replies
652 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewaagiza waajiri kuhakikisha wanatenga bajeti ya kulipa stahiki za waajiriwa wapya kabla ya...
1 Reactions
0 Replies
198 Views
Makatibu Wakuu wanaosimamia masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), na sekta ya biashara kutoka Nchi Wanachama wamekubaliana kuongeza kasi ya utekelezaji wa hatua za kuondoa vikwazo...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Salaam wana JF, Wale waliopitia shule ya Sekondari ya Ilboru, pitie hapa, mjionee hali ya shule yenu. ILBORU SECONDARY SCHOOL ALUMNI FOUNDATION Proposal for FUNDRAISING DINNER FOR THE ILBORU...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Back
Top Bottom