Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewaagiza waajiri kuhakikisha wanatenga bajeti ya kulipa stahiki za waajiriwa wapya kabla ya...
1 Reactions
0 Replies
198 Views
Makatibu Wakuu wanaosimamia masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), na sekta ya biashara kutoka Nchi Wanachama wamekubaliana kuongeza kasi ya utekelezaji wa hatua za kuondoa vikwazo...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Salaam wana JF, Wale waliopitia shule ya Sekondari ya Ilboru, pitie hapa, mjionee hali ya shule yenu. ILBORU SECONDARY SCHOOL ALUMNI FOUNDATION Proposal for FUNDRAISING DINNER FOR THE ILBORU...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Wakuu kwa hali ilivyo naona kabisa Burundi ni taifa lililofeli kabisa kiuchumi. Ndani ya wiki hizi 2 nimeona raia wa Burundi wakifukuzwa nchini Kenya, Tanzania na Zambia kwa mamia. Yaani jamaa...
1 Reactions
2 Replies
156 Views
Mtwara- Maafisa usafirishaji maarufu kama bodaboda mkoani Mtwara wamepata elimu kuhusu matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, unaowawezesha wananchi kusajili na kurasimisha viwanja vyao ili kupata umiliki...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
MTWARA- Wanawake mkoani Mtwara wameendelea kujitokeza kwa wingi katika Kliniki ya Ardhi Kidijiti inayofanyika katika Uwanja wa Mashujaa Park, wakifuatilia huduma mbalimbali za ardhi ikiwemo...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Weee mzee Herbalist Dr MziziMkavu nimekerwa sana na bandiko lako la udhalilishaji wa dini ya Kikristo haswa dhehebu Katoliki. Umetumia picha ya kutengenezwa kuwadhalilisha watawa na makasisi wa...
4 Reactions
14 Replies
277 Views
Ukiitazama picha hii inaonyesha hali halisi ya matukio na mambo yaliyotokea katika taifa hili... 1). Bluu :waliomba kukaa pembeni 2). Nyeusi na Kahawia(nyeupe mpauko): alipumzika nyadhifa ila bado...
8 Reactions
23 Replies
589 Views
Ewe mod uliye kazini toka jana usiku ni nini hasa mimi de Gunner nimekukosea? Una futa Kila Nyuzi niianzishayo, je una uhasama na mimi? Kwa nini usije inbox yangu na ufunguke, au labda kama...
7 Reactions
44 Replies
376 Views
TAARIFA KWA WAOMBAJI WALIOSHINDWA KUTUMA MAOMBI YA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imepokea maombi kutoka kwa baadhi ya waombaji wa...
1 Reactions
0 Replies
90 Views
Muda wa wanasheria wa kampuni ya sandaland kuonesha hawalipwi kimdebwedo,hawali mshahara bure wapambane na wakishindwa kuutetea mkataba wao na TFF basi awafukuze wote Soma Makonda: Kwa Miaka...
3 Reactions
3 Replies
139 Views
MARA- Wataalamu wanaoshiriki katika zoezi la uthamini wa mali za wananchi wanaotarajiwa kuhamishwa kupisha ujenzi wa eneo jipya la kuhifadhia mabaki ya shughuli za uchimbaji madini (Tailings...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Bila fedha za kutosha nchi haiwezi kuwa na maendeleo, kufuatia mabadiliko ya sheria na usimamizi wenye malengo Tanzania kwa Mwaka 2025/26 imeweza kufikia mapato ya Trilioni 1.4 katika madini...
1 Reactions
5 Replies
61 Views
Ukitazama vizuri TAIFA STARS sio timu ya wananchi na nikama mali ya SERIKALI ni vile wananchi wapenda michezo nao wanajikuta wanaing'ang'ania kwa kigezo cha uzarendo na burudani tu (TAZAMENI...
1 Reactions
2 Replies
39 Views
Kama kuna kiashiria kimoja kizuri cha ukomavu wako kihisia ni uwezo wa kumsikiliza mtu hasa yule usiyejua hulazimiki kumsikiliza. Ukomavu huo unakuchochea kutamani kuelewa ‘ulimwengu’ wa...
1 Reactions
0 Replies
55 Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea leo September 23, 2026 Mahakama Kuu kanda ya Dar es salaam ambapo pande zote za zitawasilisha hoja za...
0 Reactions
1 Replies
102 Views
POLISI WAMFUNGA PINGU MWANANCHI NA KUMUACHA AENDENAZO NYUMBANI. Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Giles George Mkazi wa Wilaya ya Nkasi amelalamika kufungwa pingu na askari wawili...
4 Reactions
8 Replies
259 Views
Haya maisha wakuu yanamengi sana kipindi fulani sikuwa na hali nzuri kiuchumi sababu sikuwa na kibarua cha uhakika sasa katika kuwacheki wana hapa na pale jamaa yangu akanipanga kuwa kuna ofisi...
103 Reactions
159 Replies
11K Views
Usiyumbishwe na maneno na mitazamo Ya watu, Kwa maana hata kwenye mti mmoja:- 🫴Mpishi ataona Kuni, 🫴Selemala ataona mbao, 🫴Mganga ataona dawa, 🫴Mpita njia ataona kivuri.
2 Reactions
4 Replies
75 Views
Magitaa ya bass ya zamani na ya asili yalikuwa na nyuzi nne tu (zinazolingana na sauti za E, A, D, G). Hata hivyo, mabadiliko ya kimuziki na kiteknolojia yamefanya magitaa ya nyuzi tano, sita, au...
0 Reactions
3 Replies
81 Views
Back
Top Bottom