Mtaka Chake
New Member
- Sep 20, 2026
- 2
- 3
“Kwa nini umeinama, nafsi yangu?
… Nailila Tanzania.”
Tunaishi katika kipindi chenye changamoto nyingi.
magonjwa, umasikini, migogoro ya vyama, ukosefu wa ajira, uhalifu, rushwa, vifo visivyo na msingi na majanga vinaweza kumfanya mtu ajiulize:JE, BADO KUNA MATUMAINI?
Kupiga Hatua Katika siasa na maendeleo je ni lazima kupitia nyakaki kama hizi ?Wakati wa fedhea, dhuruma, unyanyasaji, uchawa? Ni kweli njia ya maendeleo inavikwazo, lakini ni aina ipi ya vikwazo hili ndo swali ya kujiuliza.
Katika tafakari yangu anafananisha maisha ya watu wa Tanzania na tai anayepambana na dhoruba:
[1] Njia Ina Vikwazo: Usitarajie kuwa njia yako ya maisha itakuwa ya amani na ufanisi wa nje pekee. Wakati mwingine njia itakuwa na giza na miiba, lakini mikono ya Mungu ya milele imekuzunguka ili kukulinda.
[ii Amini Katika jitihada : Kama vile paa anavyotafuta maji kwa bidii, mwananchi Mtanzania anapaswa kujifunza kuwa na uvumilivu uthabiti wakati wa dhoruba sawasawa na anavyomtumaini wakati wa furaha.
Matumaini ya kweli hayawezi kujengwa juu ya hali iliyopo , juu ya nani anafanya nini, nani ana mali, kazi au nguvu .
Matumaini ya kweli yanapatikana katika misingi ya kweli ya utu.