Wizara ya Ardhi
Govt Institution
- May 14, 2024
- 261
- 151
Wananchi Iringa wamejitokeza kupata huduma mbalimbali zinazohusiana na masuala ya ardhi katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika viwanja vya Posta Garden, Iringa Mjini.
Kliniki hiyo inatoa fursa kwa wananchi kupata elimu, ushauri na huduma mbalimbali za ardhi kwa urahisi, ikiwa ni sehemu ya jitihada za Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kusogeza huduma kwa wananchi.