Habari kwako wewe
Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa.
Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara...
EP01
Habari za wakati huu ?
sitamani kuelezea sana maisha yangu ya nyuma Nataka nijikite kuelezea mkasa huu moja kwa moja
Nina miaka 27 hivi navyoandika uzi huu nimetokea katika familia ya...
Tumesha chapisha vipeperushi vyakutosha, lengo ni kuwafikia watanganyika wote waishio hapa. Tutashiriki maandamano ya amani ya kumdai Humphrey Polepole siku ya uzinduzi wa AFCON.
Shule ya St. Marks, Dodoma, inakabiliwa na changamoto ya Kunguni katika mabweni, huku uongozi wa shule ukidaiwa kushindwa kuchukua hatua za kukabiliana na tatizo hilo.
Licha ya hali hiyo...
Wanabodi,
Rais Magufuli ametetea dhana ya wake wengi kwenye msiba wa Masaburi, kama ilivyoripotiwa hapa,
Naanza na swali,
"Baada ya rais Magufuli, kutetea hoja ya wake wengi, jee kuna ubaya...
Mwaka ulipoanza nilisema niweke akiba siku ya kwanza nikaweka nilipokoswa bando nikatumia akiba.
Nilisema sitokuwa na matumizi ya ovyo ila nilipokutana na marafiki nikajiona tajiri.
Nikawaza...
Mkufunzi wa masuala ya kodi kutoka Chuo cha Usimamizi wa Kodi (ITA), CPA Mary Ruhara, ameibuka mshindi wa Shindano la Insha la Wanawake katika Kodi Afrika, lililoandaliwa na Jukwaa la Usimamizi wa...
Mkuu mpya wa mkoa wa mwanza unaenda kuua biashara za machungwa na matunda mengine kwa kukataa matunda yasiuzwe barabarañi yauziwe sokoni tu,hivi unajua huko mabarabarani ndio kwenye wateja?,yaani...
Mkitaka kutomeza hii michezo ya maandamano isijirudie kuwa ni michezo:
ACHENI KUTENGA FUNGU LA POSHO kwa ajiri ya vikosi n.k
Waacheni wafanye kazi yao kama sehemu yao ya kazi au majukumu ya...
Watanzania wa asili – Hawa ni watu wa makabila ya kienyeji ya Tanzania kama Wanyamwezi, Wazaramo, Wasukuma, Wachaga, Wahaya, n.k.
Hili suala halina chembe yoyote ya kikabila maana ni uhalisia...
Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache...
Ubinafsi sio kuwa mchoyo tu, hata ile hali ya kutanguliza sana watu mnaofanana kabila kuna element za ubinafsi
WASUKUMA - Sehemu unayoweza kwenda hata ukiwa mgeni na ukapewa ushirikiano kwenye...
Nimeona hiki kitu leo nikizungumzie kwa sababu kinaniumiza sana.
Mimi sehemu ninayo ishi kuna mabinti watano wame panga chumba kimoja, hawa mabinti umri wao ni kuanzia miaka 19 mpaka 25.
Kilicho...
Sina mengi ya kusema. Nikidurusu namna wafuasi wa bwana moody wapendavyo chini kiasi cha kuhalalisha ukahaba, nashindwa kutofautisha dhana mbili yaani kaaba na ukahaba kwa sababu ni kama...
Utafiti wa Cambridge umebaini jinsi ubongo unavyokua kutoka utotoni hadi uzeeni, ukiorodhesha “hatua” tano tofauti za ukuaji na mabadiliko manne makubwa katika umri wa miaka ya 9, 32, 66 na 83...
Nilianza kumuona miaka ile na kipindi chake cha Kitimoto.
Nikaja kukutane nae UDSM akisoma LLB na mimi nikisoma kozi ngumu kuliko zote pale chuoni, namkumbuka akinesanesa na pikipiki lake viunga...
MKURUGENZI WA HUDUMA YA SAFINA REDIO ARUSHA MAMA, HELLEN DANIEL LEMA ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MUME WAKE MPENDWA AMBAYE NI MUASISI WA HUDUMA YA REDIO SAFINA ARUSHA
DR. DANIEL LEMA...
Haya mambo ya maandamano 90% yanasikika mitandaoni tu ila tukija kwenye uhalisia wa maisha halisi hakuna mtu anayezungumzia kabisa.
Zimebaki siku chache lakini sioni kabisa uwezekano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.