Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna jambo moja ambalo nimekuwa nikilitafakari sana kuhusu maisha ya binadamu. Watu wengi tunajikuta tukishindana bila hata kujua tunashindana na nani. Mtu anaona mwenzake amenunua gari, mwingine...
2 Reactions
2 Replies
95 Views
Kuna maadui wakubwa WAWILI WA progress ya mwanadamu namba MOJA KIBURI ,namba mbili ndugu yake na PRIDE yeye anaitwa OFFENCE 1)PRIDE ,KIBURI • Mithali 6:16-17: "Kuna vitu sita anavyovichukia...
2 Reactions
16 Replies
252 Views
Ni mwaka 1986 na PEUGEOT 504 Safari ilianzia Iringa Railway Hotel saa 12 asubuhi Dar es salaam saa 5 asubuhi.... ilipokuwa Embassy Hotel. Kipindi hicho kulikuwa hakuna tochi barabarani...
15 Reactions
65 Replies
898 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
On the sideline of UNGA 81in New York, Tanzania co-hosted a side event with Qatar, Saudi Arabia and Indonesia to celebrate President Samia Suluhu Hassan, AU Champion for Maternal and Child Health...
1 Reactions
3 Replies
91 Views
  • Redirect
2 Reactions
– Replies
– Views
Nimeona watu wananipakazia ujinga wa kuomba omba hela jukwaani, Nilisha sema kuwa nitaendelea kuwa mwiba Mchungu kwa wadada omba omba na mapunga ya humu. Pakazieni mpaka mchoke, ila mwiba uko...
6 Reactions
27 Replies
296 Views
  • Redirect
Iko hivi Usiruhusu mtu kutekwa, usiruhusu wewe kutekwa. Acha kulinda amani za watekaji. Sio unaona mwenzio anatekwa tena sehemu kama Kariakoo wewe unaishia Kupiga picha tu, uko sawa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Kagera inashuhudia hatua kubwa za maendeleo! Barabara ya Lusuhunga–Rusumo imefikia 69%, ikifungua fursa za biashara, kurahisisha usafirishaji na kuimarisha uhusiano wa kikanda. Ni utekelezaji...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Anapokufa tajiri, kiongozi mkubwa au mtu maarufu sana watu wanapagawa na kukipamba sana kifo. Wanaongea misemo na maneno mengi mno kuonyesha utajiri, maisha mazuri na ukuu sio chochote. Huu ni...
0 Reactions
14 Replies
132 Views
Habari wanajukwaa. Wakuu natambua humu kuna wajuzi wa mamb mbali mbali. Nina dhamira ya kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote. Ninaomba nipate mtu anaejua biashara hii...
2 Reactions
13 Replies
199 Views
Shida ni nini Takwimu zinaonyesha matumizi ya Bangi yameongezeka sana kwa vijana
10 Reactions
84 Replies
530 Views
OKTOBA 2026: TIBELI WOMEN, MWANAMKE MJENZI. NITASIMAMA. Kwa wale Wanawake na Mabinti za Tibeli, na Wanaume wenye mabinti, Wake na wanaopenda Wanawake zao. Mimi Mtibeli, Baba yenu. Nimeutenga...
0 Reactions
8 Replies
110 Views
Mtu anauliwa kwa kukatwa kiungo kimoja kimoja kweli? 🥹 kwanini watu wengine hawana roho ya ubinadamu asee?
5 Reactions
41 Replies
444 Views
Jeshi la Polisi limemkamata Faustine Zakaria, kinyozi kwa tuhuma za kuharibu fedha halali za Tanzania baada ya kuonekana katika picha mjongeo akifagia noti alizokuwa amezitawanya sakafuni pamoja...
4 Reactions
25 Replies
551 Views
Uingereza yaadhimisha kumbukumbu ya mashujaa Mwandishi Wetu HabariLeo; Monday,November 12, 2007 @00:06 SERIKALI ya Uingereza jana iliadhimisha kumbukumbu ya mashujaa wa nchi wanachama wa Jumuiya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
USEMI wa Rais Jakaya Kikwete, alipochukua uongozi wananchi, kwamba anakusudia kuendesha uongozi wake akijenga katika yale yaliyofanywa na mtangulizi wake, Rais mstaafu Benjamin Mkapa, unaweza kuwa...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom