Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huyu marehemu Sir Wicknell chivayo mzimbabwe tajiri alitoa mchango mkubwa wa siri kwa ccm. Mchango wake kukichangia chama cha ccm kwa ajili ya kampeni nitauelezea hapa mshangae ni milioni za dola...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Nasikia mama yenu kawatumia salamu za rambirambi... Na Bendera nusu mlingoti wiki nzima . Tuweni wakweli,ule mwandiko wa Samia au Afisa habari wa ikulu,kamsaidia mwajiri wake kuandika?
3 Reactions
8 Replies
183 Views
Wale wachambuzi wa maisha ya watu, wanaopenda kuingilia maamuzi binafsi ya watu kwa ushauri usiohitajitaka wala kuombwa wanasema, “Kuwa na angalau kaulevi kamoja. Inasaidia.” “Mtu gani unakuwa...
2 Reactions
4 Replies
78 Views
Wakati mwingine wazo moja linaweza kubadili kabisa maisha yako ukilichukua kwa uzito na kulifanyia kazi. 1. Ukiwa unaoga 🚿 Hii Ni sehemu ambayo inafanya akili yako ipumue. Ghafla unaweza kupata...
7 Reactions
17 Replies
333 Views
Walawi 19:15 “Unapotoa hukumu uamue kwa haki; usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo. Bali ni lazima kumwamua jirani kwa haki Msisitizo: Msitafute kuwa Justices of Appeal Court.
2 Reactions
2 Replies
45 Views
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imetangaza viwango vipya vya ada za maegesho ya magari katika viwanja vya ndege, huku ada za saa ya kwanza zikianzia Shilingi 3,000 kwa magari ya...
0 Reactions
9 Replies
338 Views
Kila nikijaribu kuload next page kwenye uzi napata hii message " Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" Ni mimi tu au waTanzania wote?
0 Reactions
5 Replies
63 Views
TABORA: Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Tabora, Bw. Tumaini Gwakisa, akiambatana na wataalamu wa ardhi, akiwemo Msajili Msaidizi wa Hati Mkoa wa Tabora Na.Samweli Ibrahimu na Msajili Msaidizi...
0 Reactions
1 Replies
68 Views
Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Hamis Ulega, ameahidi kushirikiana kwa karibu na viongozi pamoja na watumishi ili kuhakikisha majukumu ya Wizara yanatekelezwa kwa ufanisi na hatimaye kufikia...
1 Reactions
0 Replies
83 Views
Nimejijenga kikamilifu kutoka kwenye mikono ya busara za mababu wa kale haikua rahisi maana ni masingi wa maisha Na nimekua nikishudia maendeleo tofali kwa tofali.... mimi sio wa jana na...
0 Reactions
3 Replies
77 Views
Anonymous
Jana nilipigiwa simu na mke wangu nikapewa taarifa kwamba mama yangu amekamatwa Buza kwa Lulenge na jiji kwenye eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara, japo hapakuwa hata na uthibitisho kwamba...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
https://x.com/_zack255/status/2105896127283200170
2 Reactions
3 Replies
68 Views
Kumbe hawa mabwana ni ndugu sasa ukoo unamfuatilia kwa karibu msigwa kuona mienendo yake baada ya mpendwa wao kuwekwa utumwani. Kumbe kajamaa kamezira kimyakimya. Kila mtu atafikiwa si mlisema...
5 Reactions
14 Replies
324 Views
Leo nilikuwa namtafakari Masoud Masoud....nikagundua ni baadhi ya watu wachache sana Duniani,,,,, katika ufahamu na uchambuzi wa muziki. Kwa sisi waswahili wa ki Tanzania hatumpi ile hadhi...
14 Reactions
56 Replies
646 Views
Chivayo alinunua ndege hio ya gharama kubwa, kumsaidia kuepuka traffic katika jiji la Harare na pia kumsaidia kufika kwenye vikao muhimu katika masuala yake ya kibiashara. Kwa mujibu wa maelezo...
20 Reactions
48 Replies
970 Views
wakuu kwema, ushawai kuanzisha kitu kikubwa ukawa wewe ndio utaki wateja ?
1 Reactions
11 Replies
258 Views
Mapooza ni nini na yanaepukwa vipi Mapooza ni vitu au mambo yo yote yasiyoweza kuzalisha chochote, au kufikia kilele chake cha kutoa matunda kamili. Neno mapooza limetokana na neno kupooza. Kwa...
2 Reactions
3 Replies
116 Views
Ni kinachojengwa Tanga kwa Sh tril 56 kusafisha mafuta. Kampuni ya Mshauri Mwelekezi yakabidhiwa eneo la ujenzi. Ni la kupokea, kuhifadhi, kusafirisha mafuta yaliyosafishwa.
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Back
Top Bottom