Kipindi waliharibiwa na wenzao wa mitaani au ndugu mlio waleta nyumbani, so mkaishia kupiga fensi na geti zito
Ila adui tukamuacha ndani, simu ya kupangusa.
Katika umri huo akili yake...
Wana JF, kumekuwa na kipeperushi hiki kinasambaa mitandaoni na kwenye magazeti (kama inavyoonekana hapo chini) kikionesha tangazo la mnada wa hadhara wa mali za kampuni kongwe ya uchapishaji...
Mods msizuie uzi, mambo yote nimeambatanisha kwa ushahidi kwa vyanzo vya kuaminika
Najua umewahi kusikia kuna sehemu za mikoa kama Manyara, Singida, Mara, Arusha, n.k. kuna jamii zinahusishwa...
Chuki kubwa waliyonayo watu wengi dhidi ya watu waliofanikiwa kisiasa au kiuchumi inatokana na Umaskini wa kipato na umaskini wa fikra. Chuki ikizidi huzaa roho mbaya na roho mbaya na Uchawi ni...
Ninafikiri kwamba, Umri wa kustaafu utumishi wa umma ushuke na kuwa angalau miaka 45 hivi, ama tuweke ukomo wa utumishi wa umma uwe miaka 15 tu, ili mtu akistaafu apate fursa ya kuyaishi maisha...
Pale Kibamba Chama tulipanda Bajaj na wakati tunaendelea na safari, abiria mmoja alisimamisha Bajaj na kupanda, baada ya hapo, vijana wanaodaiwa kusimamia eneo hilo waliizuia kuondoka na kuifunga...
Madaktari Bingwa wa Saratani na wataalamu mbalimbali wa matibabu ya ugonjwa huo, wamekutana Jijini Dar es Salaam, Katika Mkutano wa Nne wa Kimataifa kujadili maendeleo na hatua zaidi ya kudhibiti...
Tayari tumeshaona kwamba sexual energy (nguvu ya kingono) ina maana kubwa kuliko raha ya mwili tu.
Lakini, wengi wenu mmekuwa mkijiuliza swali hili kimya kimya;
“Ikiwa sex ina nguvu ya kichawi au...
Kwa nyakati tofauti Serikali na wadau mbalimbali wamesikika majukwaani wakihamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kulinda mazingira, kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi na...
Dah Kuna kipande nilimuimba chivayo kwenye ngoma yangu tayo itambulisha wiki zijazo sijui nikifute au nikiache. Nilikua nawaongelea watu waache tamaa kutamani maisha ya watu na badala yake walinde...
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph, amefafanua kuwa uvujaji na kupasuka kwa mabomba ya maji yanayotokea kabla ya mita ya mteja ni hasara...
Kibaha, Pwani
Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha wameipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha na kuendelea kutumia mfumo wa kielektroniki wa e-Ardhi...
Myahudi aliyeitwa Sauli? Mtume aliyeitwa Paulo? Au ni hadithi iliyotungwa tu?
Kutoka kuwa mtu aliyekuwa akiwafuatilia na kuwakamata wapinzani wa dini, hadi kuwa kiongozi mkubwa wa kanisa; kutoka...
Ndugu zanguni naombwa nifahamishwe je Gerson Msigwa aliyewahi kuwa mbunge wa Iringa 2010--2020 na Ndugu Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, msemaji wa rais kwa Sasa ni Ndugu?
Kama ni Ndugu...
Nangalia CGTN Professor ana shelves nzuri za textbook akihojiwa kuhusu modern transport between Jakarta and Bandung ambapo safari ya saa 3 imefupishwa na kuwa 46 minutes with Rapid trains.
Sasa...
Kwa sasa huku ndiko dunia inakopelekwa
Na wanataka tuone ni kawaida, ukihoji unaambiwa wewe ni siasa kali
Huu ushenzi unaingia Afrika na Tanzania kwa kasi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.