Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Imekuaje watanzia wamekuwa watu wapuuzi na kuupa upuuzi kipaumbele. Kuna haya mashindano ya missgrand. Kuna mambo ya miaka 30 ya bongofleva. Simba na Yanga. Kumfagilia niffer . Na kusahau...
2 Reactions
8 Replies
84 Views
Habari zenu wakuu. Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni...
20 Reactions
267 Replies
2K Views
Kucheza rough kwenye Maisha ni lazima. Muulize baba yako alimlaghai mama yako ukapatikana wewe. Watu wengi wanaonekana wabaya virse versa ni watu wema sana.Ila tu ukweli unawaponza . Dunia...
2 Reactions
6 Replies
100 Views
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akisisitiza kuwa jeshi hilo ni mali ya...
1 Reactions
36 Replies
472 Views
Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito. Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja...
14 Reactions
27 Replies
465 Views
Hakuna mtu atasponsor lifestyle ya gharama kubwa hivyo kwasababu ya sex ya namna yoyote, ila wanapenda mfikiri hivyo. Mjini hela iko nyingi sana na inaonekana wameirudisha baada ya kuona hakuna...
14 Reactions
31 Replies
591 Views
Aisee toka ni mdiskkave huyu dada nimekuwa addicted to her songs.... Alaf shemeji yenyu yupo nje anafua nguo mm nafanya kaziii zangu online, Halafu in the background zinapigwa ngoma za SZA Oyaa...
2 Reactions
6 Replies
102 Views
Anonymous
Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita. Baadhi ya...
0 Reactions
6 Replies
695 Views
Yani uwe adui wa mfumo kwa kusema waTanzania watafute Katiba mpya??? Hukujiuzuru kipindi wanasiasa wanatekwa kila siku, wafanyabiashara wakiwa wanatekwa, miili zilipokuwa zikiokotwa kila siku...
6 Reactions
11 Replies
223 Views
Wakuu habari! Kwa muda mrefu sasa hii nchi imekuwa na uholela wa kufanya biashara hasa kwa hawa wanaojiita wamachinga! Kwa jiji la Dsm wamachinga wamejimilikisha maeneo yote ya barabara na...
2 Reactions
5 Replies
105 Views
Je wajua kwamba kuna wakati ukimya wako unaweza kusema zaidi kuliko maneno elfu? Je wajua kwamba kuna maswali ambayo jibu lake linaweza kukupunguzia thamani badala ya kukuongezea? Je wajua kwamba...
2 Reactions
9 Replies
203 Views
Athari za Kimaadili na Kiroho (kupanda mbegu za chuki, kupoteza imani, na udhalilishaji wa utu) na Athari za Kiusalama na Kijamii (utengenezaji wa silaha za mtandao, habari za uongo za kuchafulia...
1 Reactions
0 Replies
65 Views
1. Mungu Jehovah anasema usiue 2. Usifanye zinaa 3. Watumishi wake Malaika 4. Penda watu wote 5. Usiseme Uongo 1. mungu shetani allah anasema ua wasio wa shetani 2. Oa badilisha utakavyo na ukija...
0 Reactions
6 Replies
90 Views
Tunashukuru kwa kulipazia sauti suala la Jengo la RITA Tower lililopo hapa Dar es Salaam, ambalo lilikuwa na changamoto ya sinki za kunawia kwenye vyoo kung'olewa na kutopatikana kwa huduma hiyo...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Halmashauri ya wilaya ya Nzega -Tabora haijatulipa fedha za kujikimu walimu wa ajira mpya 2026 badala yake imewalipa watumishi wa afya pekee, hii sio haki kwa watumishi wengine Kwani wote tuna...
0 Reactions
4 Replies
131 Views
Hapa ni Manyara, Wilaya ya Hanang, Kata ya Basutu. Inadaiwa kuwa mtu huyu amepigwa vibaya mikono yake ikiwa imefungwa nyuma, huku miguu yake ikipondwa kwa nyundo. Kwa mujibu wa taarifa hiyo...
0 Reactions
11 Replies
242 Views
Wadau ambaye ana waraka huo naomba ashee na sisi hapa jukwaani au kama haupo ulishafutwa tunaomba basi huo waraka ambao umefutwa maana nimeona barua mtumishi kajibiwa hastahili kulipwa uhamisho...
4 Reactions
21 Replies
11K Views
Waungwana Habarini Za Asubuhi Kwamujibu Wa Takwimu za United Nations kwa Makadilio ya Mwaka Huu 2026 Dunia ina Jumla ya Zaidi ya Watu Billion 8.3 Na Inakadiliwa Itafikia Zaidi ya Watu Billion 10...
3 Reactions
12 Replies
129 Views
Katika maisha haya, kama umezaliwa mwanaume, tayari maisha yameanza kukuchezea 1–0. Umezaliwa Afrika? 2–0. Umezaliwa kwenye familia maskini? 3–0. Baba yako hana urithi wala mali ya kukuachia...
14 Reactions
52 Replies
512 Views
Kifo cha mfanyabiashara mashuhuri wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, maarufu kama Sir Wicknell, ni msiba ambao umeacha maswali, huzuni na tafakuri kubwa katika familia yake, Zimbabwe na sehemu...
1 Reactions
16 Replies
363 Views
Back
Top Bottom