Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dini na uchawi ni Simba na Yanga, Mungu na shetani ni Tom and Jerry. mmojawapo akiwa hayupo mwingine nae anakufa. na movie inaisha
1 Reactions
3 Replies
333 Views
Kuna jamaa mmoja anaitwa Yahushi Takahashi Aliweza kutumia zaidi ya Miezi Sita kuizunguka Japan akisafiri umbali wa kilomita 7,163.7 kwa mguu, kwa gari, kwa kutumia boat, treni na na baiskeli yote...
2 Reactions
13 Replies
516 Views
Wakala wa usajili na Vifo RITA ambayo ipo chini ya FRANK KANYUSI aliyekuwa CEO BRELA Kabla ya Uteuzi wa Kanyusi RITA walikuwa vizuri, Kanyusi amewapeleka next level lakini Huduma zimerudi kipindi...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma, Frasser Kashai Askari sita wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumtesa na kumuua...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kulikuwa na wafalme kama hawa 1.. Joseph Mbilinyi SUGu, Mr II, 2proud, Taita 2. Professor J 3. JUMA Nature 4. Inspector Haroun 5. Ferouz 6. Mr. Nice 7. Mr. Blue 8. Mangwea 9. Afande Selle 10. 20...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Ambapo ngono ni bure, lakini upendo ni wa gharama. Ambapo kupoteza simu kunauma zaidi kuliko kupoteza ubikira. Ambapo maendeleo yanamaanisha uchi. Ambapo kama hunywi pombe au huvuti sigara...
7 Reactions
11 Replies
586 Views
Ikiwa bado unajikuta kwa shida za kifedha, soma hii kwa makini. Wengi wanaishi umaskini si kwa bahati mbaya, bali kwa TABIA ZA KIBOVU. Haya ndio makosa makubwa ambayo yataendelea kukufanya uwe...
1 Reactions
1 Replies
370 Views
Mimi binafsi ninavyoona ,kwa hizi hasara ambazo zimejitokeza katika ripoti ya CAG ni wazi kuwa , pengine ni ile sheria ya kamba inafanya kazi tuiite the rope's law kwamba kila mmoja anakula...
0 Reactions
3 Replies
373 Views
Manji amgeuzia kibao aliyeibua upya Kagoda Mwanaharakati maarufu nchini, Kainerugaba Msemakweli, ameelezea kusakwa kwake na Jeshi la Polisi ili akamatwe, akisema kuwa kumetokana na kufunguliwa...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Nimeona picha ya kijana aliyekatwa mkono kwa panga kwenye gazeti la majira nikasikitika sana. Hivi hawa jamaa wanataka kuifanya Tanzania kama Somalia?Cuf mmejiua wenyewe, sahauni kwenda ikulu!!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii imetokea alfajiri ya leo ambapo askari wa mgodi wa dhahabu wa Geita aliyekuwa katika lindo maeneo ya pit ya zaman iliyofungwa ya Lonkoni, aliwashambulia kwa risasi wananchi waliokuwa wameingia...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kijana Denis Maringo ambaye anadai yeye ni mkimbizi wa kisiasa toka Tanzania aliyeko marekani, amefungua kesi kudai fidia Google akisema kwamba wametumia jina la kabila lake la waGogo isivyo...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Sio wageni kuchambua makala tofauti ambayo wazazi walifanya watoto wao kuwa viongozi au watu watu fulani kushikilia madaraka. Hawa watu mnaowapa tambua hata hapa JF kuna watu wakiwa wazazi na...
0 Reactions
3 Replies
306 Views
Baada ya kutoa thread wiki chache zilizopita, ile barabara inayoanzia Magomeni moroco mpaka Sinza Kijiweni maarufu kama Uzuri road imeanza kufanyiwa ukarabati. Wameanzia kusafisha maeneo ya sinza...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Katibu mkuu mstaafu wa ofisi ya rahisi joseph butiku amesema miaka 50 ya uhuru tz inajivunia ongezeko la watu toka million 9 adi 42,hio inatokana na sera nzuri za ccm,source tbc
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Takribani billion kumi na tatu kutumika
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nna miaka 30 kuna mtu pia ana miaka 33. WOte wamemaliza degree 2017/19 hawa watu wanapiga mishe za hapa na pale mitaani (vibarua) wakisubiri ajira za ualimu waajiriwe. Kuna jamaangu mmoja leo...
28 Reactions
78 Replies
4K Views
Dr.Mwakyembe-Sitolipiza kisasi ni moja ya vichwa vya habari nilivyovisikia leo ktk magazeti ya Tanzania je kuna ukweli wowote juu ya habari ama ripoti ya Mwana JF aliyoitoa hapa,juu ya afya ya Dr...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Baada ya serikali kulalamika kwamba umeme unakatika kwa sababu mabwawa ya kuzalisha umeme yamekauka, wachungaji kutoka madhehebu mbalimbali ya kikristo walifanya maombi ili mvua inyeshe na kujaza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika gazeti la mwanahalisi leo habari kubwa ni serikali hoi kifedha. Hivyo imebana ajila mpya Polisi wataajiliwa 1,351, magereza 485, makosa ya jinai 111, walimu 417, kilimo 294, jinsia na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…