CUF, kwa staili ya alshabaab wasahau kwenda Ikulu

Ground Zero

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
342
95
Nimeona picha ya kijana aliyekatwa mkono kwa panga kwenye gazeti la majira nikasikitika sana. Hivi hawa jamaa wanataka kuifanya Tanzania kama Somalia?Cuf mmejiua wenyewe, sahauni kwenda ikulu!!!
 
Hebu toa taarifa chanzo cha tukio ni nini badala ya kuweka ushabiki
wa kisiasa mbele kwanza. we unafikiri Ikulu ni sehemu Rahisi? Muulize
Dr. Salim A Salim ndo utajua ikulu ni ngumu kiasi gani.
 
Hebu toa taarifa chanzo cha tukio ni nini badala ya kuweka ushabiki
wa kisiasa mbele kwanza. we unafikiri Ikulu ni sehemu Rahisi? Muulize
Dr. Salim A Salim ndo utajua ikulu ni ngumu kiasi gani.
Chanzo cha tukio ni mvutano kati ya Hamad Rashid na Maalimu Seif, tatizo ni madaraka. Kama hata siasa za ndani hamuwezi kuendesha bila mapanga tukiwakabidhi mizinga na ndege si ndio itatangazwa no fly zone?
 
Back
Top Bottom