Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mko poa wakuu Nmepata wazo nimeona niwape mumpelekee mama au watu wake wa karibu.. Njooni na iftari ya FTURU NA MAMA.. Hii iwe km give back tu commonly.. Ifanyike kwny chungu cha 28 au 29...
1 Reactions
38 Replies
1K Views
Wananchi wa Kata ya Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara, wamelalamikia kutoshirikishwa katika kuibua na kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ya elimu na afya hivyo kushindwa kusimamia...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema inatarajia kuanza utaratibu wa kusajili waandishi wa habari kupitia mfumo wa kidijitali ifikapo mwanzoni mwa mwezi Mei, 2025. Taarifa...
1 Reactions
8 Replies
435 Views
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Hanang', ambapo ameshuhudia uchimbaji wa kisima katika Kijiji cha Endasworld...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Huu upuuzi unapatikana Tanzania tu, ukiingia mitandaoni hasa Twitter, Instagram, Threads utakutana na "Ads" nyingi za CCM kuichafua CHADEMA kuliko "Ads" zinazoitangaza nchi kwa mambo mbalimbali...
2 Reactions
4 Replies
416 Views
Watu 'wasiojulikana' wamefika katika Kitongoji cha Mchango wa Hela, Pwani, na kubomoa nyumba kadhaa huku wakichoma moto baadhi ya vitu, wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo. Tukio hili limezua...
0 Reactions
4 Replies
363 Views
Wakuu Wananchi Wilayani Kibiti Mkoani Pwani Wametakiwa kuilinda vyema miradi ya maji ya wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini RUWASA waliyojengewa na Serikali ili iweze Kudumu na...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Miguu ya Kuku hutumika, kama hirizi katika mila ya Voodoo, Hoodoo, Amerika Kusini na Conjure. Matumizi bora kwa miguu ya kuku ni wakati unahitaji ulinzi kutoka kwenye mambo hasi na upepo...
16 Reactions
47 Replies
4K Views
Wakuu, Utakuta Mwafrika anayesafiri kilometa za kutosha kwenda saudia arabia kusujudu lile jiwe jeusi "kimondo" ili abarikiwe, amekaa anamcheka anayevaa kipande Cha mti shingoni "rozali" kwa...
14 Reactions
56 Replies
2K Views
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameagiza Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni kuanza utekelezaji wake mara moja ili kuchochea ukuaji wa sekta na kuleta...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), Mhandisi Hassan Said ametangaza kukamilika kwa miradi minne mikubwa ya umeme inayolenga kuleta nishati katika vijiji 5,259, ikijumuisha vijiji...
2 Reactions
1 Replies
315 Views
Naombeni msaada waungwana wa JamiiForum . Nina amini humu kuna watu wenye taarifa . Naomba msaada nahitaji kufahamu je mtu gani au taasisi gani inayo weza kutoa mafunzo ya kuzungumza lugha ya...
1 Reactions
5 Replies
437 Views
Habari, Kama kweli biblia/ukristo na uislam/quruan vina nguvu ya Mungu kwanini vistumike kumaliza matatizo ya vita,wizi,magonjwa,ufisadi,n.k duniani kote na hasahasa Afrika wakati kila leo watu...
4 Reactions
6 Replies
465 Views
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mpaka sasa imefika katika mikoa 23, ambapo imesikiliza na kutatua kero na changamoto za...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Nipo nje ya nchi na pasipoti yangu imeisha muda. Nimesha jaza maombi ya pasipoti mpya na pia nimefanya malipo kwenye tovuti ya Uhamiaji. Pia nimetuma barua pepe na copi Ubalozi. Lakini bado...
6 Reactions
66 Replies
2K Views
SAFARI ZA IRINGA ZAREJEA, TWIGA MILES KUTUMIKA KUKATA TIKETI 12 Februari, 2025, Dar es Salaam Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuujulisha Umma kuwa inarejesha safari za moja kwa moja...
0 Reactions
2 Replies
606 Views
Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa) Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
JF raha yake ni mara umepigwa ban, mara umepiga mtu za chembe, mara amekushtaki mara unaitwa ujieleze, mara mtu kakushtaki unaingia unakuta umepigwa ban unacheka unasema hapa sawa. Ama sivyo...
2 Reactions
5 Replies
420 Views
Na. Martin Bashando Shaboka Zamani niliamini naweza kuwa mtu wa maana kwa kuambatana na jamii ya watu fulani ninaowaheshimu au wanaoheshimika kwenye jamii, Baadaye nikaja kugundua nilikuwa...
2 Reactions
2 Replies
252 Views
Kwa wanaojua app gani nitumie kudownload kitambulisho cha Taifa? Msaada kwa wajuzi.
5 Reactions
73 Replies
3K Views
Back
Top Bottom