Nisiwachoshe asubuhi hii hata chai hamjanywa
Ila ningekuwa waziri wa elimu ningeondoa masomo ya historia, uraia, hisabati na kiswahili kuwa masomo ya lazima sekondari badala yake ningeweka...
Habarini,
Nimewaza kwa mfano itokee system ya kugundua na kuthibitisha makosa yaliyofanywa na watu wote nchini walio above 18, ambayo adhabu zake zimeainishwa kwenye penal code k.v
1)Kufanya...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax (Mb), tarehe 05 Machi, 2025, ameshiriki kikao cha Dharura cha Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONDOLEWA KWA HITAJIO LA VISA KWA WATANZANIA WANAOINGIA NCHINI JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO (DRC) KUANZIA TAREHE 20 MACHI, 2025
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...
Mimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto simenti na mchanga juu gorofani bora nilale geto tu...
Hello Marafiki,
Mimi ndio nataka kununua kiwanja kwa mara ya kwanza, ningependa kujua ni processes gani nazopaswa kufuata ili kukamilisha manunuzi hadi umiliki unaotambulika kisheria.
Na pia ni...
Copper inachimbwa kwa wingi sana DRC tokea mda sana ila cha ajabu kama nchi tumeshindwa kutumia hii nafasi ya kuitumia copper kwa manufaa ya nchi
Ni wakati wa nchi kuvutia waekezaji waje wajenge...
Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini amewataka Maafisa biashara kuhamasisha wananchi kuanzisha biashara na sio kufungia biashara kama...
Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.
Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni maandiko matakatifu, Kwetu ni Mbinguni hukoo peponi wala hakutuhusu
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu
Ufunuo 21:1-,,
Wafilipi 3:20
Nehemiah 9:6
MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Shinyanga yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/ 2025 ni Shilingi Bilioni...
Director General Dr Jabiri Bakari malalamiko ya kuibiwa bando/airtime yamekuwepo tangu Nape alipokuwa waziri wa sekita hiyo. Alikuwa anajibu kwa dharau na kiburi na majibu yake yalikuwa hayo...
Haloooo wanazengo heshima yangu kwenu wakuu.
Binafsi sikuwahi kuwa mshabiki wa rais Dr samia lakini kwa hili mama upele umenikuna sina uchawa wowote kwako wala kwa chama chako
Nachukua nafsi...
Ni stori ya kweli ya kimaisha ya namna nilivyopata utajiri wangu.. Nimezaliwa kwenye familia masikini sana,na nauchukia umasikini, home tulikua tunaweza kupitisha siku nzima bila kula,au tunapiga...
Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Moshi Mjini imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Shafii Kondo (56) mkazi wa mtaa wa Kiusa kwa kosa la kuiba mita za maji za Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
Mwaka 1980 katika sherehe za mashujaa kulikuwa na parade kali ya kijeshi mbele ya Raisi Nyerere hapo uwanja wa Taifa huku ikisindikizwa na airshow; hiyo ilikuwa ndiyo sherehe ya kwanza ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.