Ukweli Usemwe Ali Kiba hajawahi kuwa na Enzi ya Ufalme kwenye Bongo Flavor sana sana Amedumu kwenye Mziki wa Bongo tu

Kichwamoto

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
3,363
4,560
Kulikuwa na wafalme kama hawa
1.. Joseph Mbilinyi SUGu, Mr II, 2proud, Taita
2. Professor J
3. JUMA Nature
4. Inspector Haroun
5. Ferouz
6. Mr. Nice
7. Mr. Blue
8. Mangwea
9. Afande Selle
10. 20 Percent
11. Fid Q
12. G.Nako na Clue yake yote
13. Dully Sikes (Huyu ndio Mr. Bongo Flavor)
14. Q.ChiefChillah
15. T.I.D Mnyama, Top In Dar huyu alitawala hatari
16. Chidi Benzi The power The Dragon Master

Nje na figisu za akina Ruge na Cloud FM Ali Kiba alienda Kibra baada ya kutoka kuimba na RKelly na Psquare alipotea kwenye game miaka kadhaa.

Tunaoujua mziki wa bongo na nyakati zake na wabeba tuzo wote tunawajua.

Hitimisho Ali Kiba hajawahi kuwa ni Mfalme wa Bongo Flavor, ni mwanaharakati tu katika maisha ya muziki wa Bongo Flavor.

Ujumbe ndio huo nawasubiria kwenye comments.

I rest my case

Kichwamoto The Fountain of Bongo Flavor history.
 
Haya... kuna jingine?
 
Ni kweli usemayo
Ila kitendo cha yeye kudumu kwenye muziki tayari ni ufalme huo
Ameweza jambo lililowashinda wengi wakiwemo hao uliowataja
Yeye ni mkongwe tu kwenye game hana historia ya maajabu hajawahi kushika enzi kwenye game, alikuwa chawa wa Ruge na Bado ni Chawa wa Couds Media
 
Yeye ni mkongwe tu kwenye game hana historia ya maajabu hajawahi kushika enzi kwenye game, alikuwa chawa wa Ruge na Bado ni Chawa wa Couds Media
Hii comment yako ina ashiria kabisa kua umeanzisha huu uzi kwa chuki zako binafsi kwa Kiba,hapa hakuna mjadala coz hautakua tayari kukubaliana na mawazo ya wengine,so endelea tu kuamini unachokiamini.
 
Ni kitu gani ambacho 20 percent alikifanya Kwenye Bongo fleva mpaka umuweke Kwenye list?
Anyways,najua una chuki binafsi na Ali kiba ndo maana hujamtaja Kwenye list yako.

Halafu hiyo list yako Ni personal opinion yako tu Wala sio fact.
 
Kulikuwa na wafalme kama hawa
1.. Joseph Mbilinyi SUGu, Mr II, 2proud, Taita
2. Professor J
3. JUMA Nature
4. Inspector Haroun
5. Ferouz
6. Mr. Nice
7. Mr. Blue
8. Mangwea
9. Afande Selle
10. 20 Percent
11. Fid Q
12. G.Nako na Clue yake yote
13. Dully Sikes (Huyu ndio Mr. Bongo Flavor)
14. Q.ChiefChillah
15. T.I.D Mnyama, Top In Dar huyu alitawala hatari
16. Chidi Benzi The power The Dragon Master

Nje na figisu za akina Ruge na Cloud FM Ali Kiba alienda Kibra baada ya kutoka kuimba na RKelly na Psquare alipotea kwenye game miaka kadhaa.

Tunaoujua mziki wa bongo na nyakati zake na wabeba tuzo wote tunawajua.

Hitimisho Ali Kiba hajawahi kuwa ni Mfalme wa Bongo Flavor, ni mwanaharakati tu katika maisha ya muziki wa Bongo Flavor.

Ujumbe ndio huo nawasubiria kwenye comments.

I rest my case

Kichwamoto The Fountain of Bongo Flavor history.
Afande sele Mtoa Mada hajawahi kuwa Mfalme kwa wakati wowote ule na Pia Fid q...
 
Ni kitu gani ambacho 20 percent alikifanya Kwenye Bongo fleva mpaka umuweke Kwenye list?
Anyways,najua una chuki binafsi na Ali kiba ndo maana hujamtaja Kwenye list yako.

Halafu hiyo list yako Ni personal opinion yako tu Wala sio fact.
20% Ni legend wa Muziki miaka hiyi aliwahi kuchukua Tuzo Tano peke yake
 
Kulikuwa na wafalme kama hawa
1.. Joseph Mbilinyi SUGu, Mr II, 2proud, Taita
2. Professor J
3. JUMA Nature
4. Inspector Haroun
5. Ferouz
6. Mr. Nice
7. Mr. Blue
8. Mangwea
9. Afande Selle
10. 20 Percent
11. Fid Q
12. G.Nako na Clue yake yote
13. Dully Sikes (Huyu ndio Mr. Bongo Flavor)
14. Q.ChiefChillah
15. T.I.D Mnyama, Top In Dar huyu alitawala hatari
16. Chidi Benzi The power The Dragon Master

Nje na figisu za akina Ruge na Cloud FM Ali Kiba alienda Kibra baada ya kutoka kuimba na RKelly na Psquare alipotea kwenye game miaka kadhaa.

Tunaoujua mziki wa bongo na nyakati zake na wabeba tuzo wote tunawajua.

Hitimisho Ali Kiba hajawahi kuwa ni Mfalme wa Bongo Flavor, ni mwanaharakati tu katika maisha ya muziki wa Bongo Flavor.

Ujumbe ndio huo nawasubiria kwenye comments.

I rest my case

Kichwamoto The Fountain of Bongo Flavor history.
Mtu mwenyewe unajiita Kichwamoto kuna mjadala hapo?
 
Mfalme wa Rhymes nani mwenye tuzo5 za Kil awards kama hujui kaa kimya Afande Selle ndio mfalme
Mzee Mfalme wa Rhymes alikuwa Afande sele Tuzo ambayo wasanii Wote waligoma Kukubali mpaka Leo hakuna Msanii yoyote aliyewahi kukubali Tuzo hiyo kuwa Ilipaswa kwenda kwake...

Pengine Ulikuwa una umri mdogo Kipindi hicho hakuna Msanii aliyekubali Kuhusu hiyo tuzo ilitolewa kirushwa rushwa..
Soggy dog, Msafiri Kondoo Aka Solo thang na wengine kibao waliigomea Jinsi Tuzo hizo zilivyofanyika na Upatikanaji wake haukuwa Wazi ulikuwa wa Kimagumashi ..

Kuhusu 20% Ni Msanii pekee aliyepata Tuzo 5 za KTMA kipindi ambacho KTMA bado ina nguvu na Inapendwa..
Sasa sjui kama ulikuwa Una Umri gani?? Kipindi hicho
 
Mfalme wa Rhymes nani mwenye tuzo5 za Kil awards kama hujui kaa kimya Afande Selle ndio mfalme
Ngoja Nikueleweshe Kuhusu Afande sele Inaonekana Unamjua Juzi..

Afande sele ameanza Mziki miaka ya 99 na mwishoni wa 98..Mwaka 2000 akatoka na nyimbo yake ya "Acha kupiga mayowe"

Na album yake ya Kwanza ilitoka mwaka 2002 ikiwa na nyimbo Nne mzee wangu..

ALbum ya Pili ilikuwa mkuki moyoni iliyotoka mwaka 2003 sasa hii ndo ilizua Utata kuhusu Tuzo ya Mfalme wa rhymes...

Nakusimulia kwa sababu kipindi hicho mimi ndo kijana Check bob Mtaani..Kwa hiyo story yote naifahamu tulikuwa tunazisoma kwenye Magazeti ya Udaku ya Shigongo..

Japo ana Album nyingine kama Nafsi yangu ya mwaka 2006 na Karata Dume..

Turudi kwenye Mada sasa mwaka 2004 Kupitis Global Publisher Erick Shigongo alianzisha hayo mashindano ya Mfalme wa Rhymes..

afande sele aliibuka mshindi Kea figisu figisu
kwa kuwabwaga wachanaji wengine kama Professa Jay, Solo thang, Jay Mo, Soggy Doggy na wengineo na kujinyakulia zawadi ya gari...

Sasa cha kujiuliza Afande sele mwak 2004 alikuwa na Hit 4 Tu na zilikuwa za kawaida sio kali kuliko Nyimbi za Proffesor Jay, Solo thang, jay Mo wala Soggy doggy..

Wote hao walikuwa Far away na uwezo mkubwa Kumzidi Afande sele na nyimbo yake ya Mkuki moyoni..

Mashabiki wengi waligoma Majibu ya Erick Shigongo na nakumbuka walimuuliza kuhsu Vigezo alivyotumia..
Ila hajawahi kujibu hilo swali...
Soggy Ni Mmoja ambaye ana Bifu na Afande mpaka leo kwa sababu hiyo achilia Mbali.. O'Ten na Solo thang..

Na ndo maana Hata Fid q kwenye Nyimbo yake Ya "mwanza mwanza" Mwaka 2005 kuna mstari anasema "Mkali wa Rhymes ambaye Soggy Doggy hamtaki"

Solo na yeye Kwenye Nyimbo ya Kilio changu aliyomshirikisha Q Chief alimdiss Afande kwa kupanga matokeo na Erick shigongo..

Na pia Kwenye Nyimbo ya Travellor aliimba solo thang..
"Mi sio Mfalme njozi, mi sio Mgambo Sele". Solo Thang anasema Afande ni wa Njozi na wala hana cheo cha uafande yeye ni Mgambo japo Songa na yeye anasema ""Sele atabaki Afande, ila
mfalme ni hasheem Dogo".
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom