Joseph Butiku: Miaka 50 ya uhuru, Tanzania inajivunia ongezeko la watu toka million 9 hadi 42 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Joseph Butiku: Miaka 50 ya uhuru, Tanzania inajivunia ongezeko la watu toka million 9 hadi 42

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Money Stunna, Dec 17, 2011.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  Katibu mkuu mstaafu wa ofisi ya rahisi joseph butiku amesema miaka 50 ya uhuru tz inajivunia ongezeko la watu toka million 9 adi 42,hio inatokana na sera nzuri za ccm,source tbc
   
 2. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mbona la ufisadi kalisahau??
   
 3. m

  macinkus JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Butiku alikuwa Katibu Mkuu wa Rais gani?

  macinkus
   
 4. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  La ufisadi limekwisha kwa sababu lowassa anashughulikiwa na kamati ya maadili muda si mrefu,ndio maana anajiandaa kukimbilia chadema!
   
Loading...