Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika haya maisha kuna vitu huwa tunajiapiza hatuwezi kuvifanya kwasababu tunahisi sio hadhi zetu au vinatutia kinyaa lakini baadae tunabadili msimamo. Baada ya kumaliza degree nilijiapiza...
4 Reactions
7 Replies
654 Views
Kwa kijana ambaye umeanza kujitafuta kimaisha, kama wazazi hawajakufukuza, au hujaaribu hapo mtaani. Tafadhali baki tu nyumbani kwenu. Utaokoa kiasi flani cha fedha. Achana na jamiii inaongea...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Unaambiwa ukikosea kupanda gari, jitahidi ushuke kituo cha karibu, kabla hujaanza kujutia gharama na muda uliopoteza. Unapojifunza any digital skill, au unapopata kazi, jitahidi kufanya analysis...
2 Reactions
1 Replies
196 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu wa kigoma ni watani zetu sisi kanda ya ziwa hususani Mkoa wa Mara. Hivyo nahoji na kushauri watani zangu huku nikijiuliza kwa tabia zao watamudu masharti ya...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Huku dodoma chumba kibaya kibaya tu ili mradi kiwe na umeme na maji ni elfu 50, Chumba angalau, angalau Single tu elfu 60k au 70k kwa mwezi, Self kuanzia 80k mpaka 100k huku bili ya maji...
9 Reactions
21 Replies
5K Views
Upatikanaji wa maji katika Halmashauri ya Bumbuli mkoani Tanga, umeongezeka kwa asilimia 12 katika kipindi cha miaka minne kutoka asilimia 60 mwaka 2020, hadi asilimia 72 hivi sasa. Hatua hiyo...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Gwakisa Kasongwa amezindua mradi wa maji uliopo chini ya wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) katika kijiji cha Ipepo wenye thamani...
0 Reactions
0 Replies
312 Views
Wadau hamjamboni nyote? Wenzetu wanafunga na wanafuturi utaratibu mzuri kabisa, nyie je?! Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
1 Reactions
0 Replies
230 Views
Mungu anasema Vitu Vingi vitabadilika. Katika uchaguzi Mkuu unaokuja. Maana watu wengi wamelia kuhusu maisha yao na Hatima za watoto wao , hapa imeangaziwa hali ya maisha ya watu, kiuchumi na...
7 Reactions
18 Replies
705 Views
Wadau wa Jamiiforums, Salamu Zenu! Kama kuna kitu kipo wazi kama jua la mchana ni kwamba mafogo (matajiri) wanafikiria tofauti na sie wa kawaida. Kuna watu wanasema eti "tajiri akisema ni mchana...
12 Reactions
21 Replies
1K Views
Anaandika, Robert Heriel Kuhani Kuna watu wanafikiri Taikon ni mtu mwenye roho mbaya, bandidu, bedui nisiye na huruma wala upendo. Ati kwa sababu ninaongea ukweli na haki. Ndugu zangu nipo hapa...
13 Reactions
66 Replies
6K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Mashine ya tisa ya mtambo wa kuzalisha umeme katika Bwawa la Julius Nyerere Machi 22, 2025 imekabidhiwa na kuunganishwa kwenye...
0 Reactions
2 Replies
789 Views
Imagine unakaa dakika 20 huoni gari ya kuelekea unakoenda, na unatumia usafiri tuliotangaziwa kwa mbwembwe na bashasha kwamba ndiyo mkombozi wa shida ya usafiri. Kwa hali hii, serikali iruhusu...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia...
77 Reactions
2K Replies
510K Views
Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda KILA pembe ya kijiji cha Koromije, Wilaya ya Misungwi, pamoja na viunga vya jiji la Mwanza Paul Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anatajwa na...
35 Reactions
968 Replies
143K Views
Kuna huyu kijana alipost anatafuta kazi, nikamtafuta akadai ana nauli pungufu. Tukakubaliana nimtumie nusu nauli. Nilimtumia lakini siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia...
46 Reactions
314 Replies
12K Views
Habari zenu wakubwa, Naomba ushauri na msaada mzee wangu alimdhamin mtu hasa akaweka dhamana ya nyumba yake kisa alirubunia atapewa 10%...huyo mtu alienda bank kwaajili ya kupewa mkopo bank...
2 Reactions
5 Replies
642 Views
lamination ni zoezi la kujaladia vyeti ili viwe na uimara wa muda mrefu, visiharibiwe na maji, uchafu, mikunjo, n.k. Umeenda stationery kufanya lamination (Kujaladia) cheti cha elimu, hati ya...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Hakuna tofauti na kumuweka Brian Deacon makanisani 😁 Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Naomba msaada kujua kubadili jina nida inachukua muda gan..mpka kukamilika..ukifata taratbu zao.zote
0 Reactions
1 Replies
646 Views
Back
Top Bottom