Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima. Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga...
20 Reactions
117 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Ni maandiko matakatifu, Kwetu ni Mbinguni hukoo peponi wala hakutuhusu Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu Ufunuo 21:1-,, Wafilipi 3:20 Nehemiah 9:6
1 Reactions
2 Replies
220 Views
MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Shinyanga yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/ 2025 ni Shilingi Bilioni...
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Director General Dr Jabiri Bakari malalamiko ya kuibiwa bando/airtime yamekuwepo tangu Nape alipokuwa waziri wa sekita hiyo. Alikuwa anajibu kwa dharau na kiburi na majibu yake yalikuwa hayo...
2 Reactions
4 Replies
510 Views
Haloooo wanazengo heshima yangu kwenu wakuu. Binafsi sikuwahi kuwa mshabiki wa rais Dr samia lakini kwa hili mama upele umenikuna sina uchawa wowote kwako wala kwa chama chako Nachukua nafsi...
-1 Reactions
23 Replies
683 Views
Ni stori ya kweli ya kimaisha ya namna nilivyopata utajiri wangu.. Nimezaliwa kwenye familia masikini sana,na nauchukia umasikini, home tulikua tunaweza kupitisha siku nzima bila kula,au tunapiga...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Moshi Mjini imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Shafii Kondo (56) mkazi wa mtaa wa Kiusa kwa kosa la kuiba mita za maji za Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
0 Reactions
6 Replies
465 Views
Mwaka 1980 katika sherehe za mashujaa kulikuwa na parade kali ya kijeshi mbele ya Raisi Nyerere hapo uwanja wa Taifa huku ikisindikizwa na airshow; hiyo ilikuwa ndiyo sherehe ya kwanza ya...
1 Reactions
36 Replies
15K Views
Hamjambo? Mzee wenu nimekuja kwa unyenyekevu Safari hii, Kama hamjambo na mimi sijambo. Wahusika JF naomba mlishikie kidedea hili swala kulifikisha mamlaka husika Naulizia sakata la vijana 5...
7 Reactions
129 Replies
8K Views
Kuna Mawaziri wengi tu Waandamizi Serikali hii hii nao Walifiwa na Watu wao wa muhimu, ila Coverage haikuwa kubwa.
2 Reactions
1 Replies
409 Views
Habari za wakati huu familia? Bila shaka uko vizuri na umeshinda salama! Siku ya leo nimekuandalia somo linalohusu; MAZINGIRA: NGUVU ISIYOONEKANA INAYOWEZA KUKUJENGA AU KUKUBOMOA. Ikiwa...
2 Reactions
1 Replies
670 Views
Kuna ulazima wa Mungu kuwachukulia hatua za kinidhamu wanafanya uovu mwingi kupitia jina tukufu la Mungu. Hii sio sawa. Hawa watu wamekuwa na mambo mengi ya kitapeli kwa kujifanya wana uwezo...
0 Reactions
1 Replies
187 Views
Chuo kikuu cha St. Augustine kimebatilisha shahada ilizotoa kwa madaktari 162 waliohitimu chuo cha udaktari cha St. Franscis kuanzia mwaka 2015-2019. St. Augustine imechapisha tangazo kwenye...
15 Reactions
335 Replies
31K Views
Anonymous
Kampuni ya GEO SECURITY ya Arusha inalinda vituo vya idara ya maji pamoja na maofisi mbalimbali, tuna mkataba nao zaidi ya mwaka mmoja ila tulisaini mkataba wa mwaka mmoja tu na copy walibaki nazo...
0 Reactions
4 Replies
398 Views
Nimeona chekechea za china watoto wanafundishwa kupika, kushona ,ujenzi, ujasiliamali, ufundi na mambo MENGI ya maana. Lengo lao ni kuwaandaa watoto hata kama watafika darasa la SABA wae na uwezo...
2 Reactions
10 Replies
486 Views
Ripoti mpya iliyochapishwa leo Machi 26, 2025 inaonesha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda yanapoteza hadi dola bilioni 5 sawa na Shilingi Trilioni 13 za kitanzania kila mwaka kwa kuwa na sheria...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Japo tunawadharau, wanyama ni viumbe bora kitabia kuliko wanadamu. Hawafanyi uchafu hasa chuki na uroho, roho mbaya, tabia mbaya, fitina, majivuno, kunyonyana, kunyongana, wala kuawana kama...
1 Reactions
5 Replies
428 Views
Naomba Serikali kupitia Waziri wa Maji, Juma Aweso afuatilia chanzo cha Wakazi wengi wa Mkoani Morogoro kukosa huduma ya maji. Hii hali inatutesa sisi wakazi wa Morogoro kwa muda mrefu sasa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Huyu ni Askari Magereza ?, Kama jibu ni ndio basi huko Magereza kuna Watu wapumbavu sana
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuna mawaiza nilisikilizaga zamani ila sikumbuki ni nani?. Ya sheik mmoja fulani. Maelezo yake:Kulikuwa na maskini mmoja alikuwa jangwani kwa shida na kutafute kote na umaskini unaomzonga aliomba...
2 Reactions
5 Replies
408 Views
Back
Top Bottom