Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndiyo naingia nyumbani kwangu mida hii. Wife amenunua, nimemkuta ametoa begi lake la nguo anapiga pasi, anataka kurudi kwao anasema " Mashamba Makubwa Nalima umepata mke wewe, niache mimi nirudi...
5 Reactions
18 Replies
974 Views
Nimesikitishwa niliposikia kumbe Tanzania ni ya mwisho kiteknolojia nyuma ya Kenya Uganda Rwanda Nataka kujua hii taarifa inaukweli wowote, na kama ni kweli imekuaje tukabaki nyuma wakati...
0 Reactions
8 Replies
530 Views
habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi. tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Mimi siyo mrefu wala mfupi, lakini naweza nikawa mrefu kwa watu wengi wa Njombe! Kwa siku chache nilizokaa Njombe, nilibaini ukweli kuwa ukubwa wa mwili hauamui "ukubwa" wa mtu. Anaweza akawa na...
51 Reactions
185 Replies
12K Views
Ni kawaida kwamba katika nchi nyingi matajiri wakubwa utakuta ni wafanya biashara, lakini sio Tanzania. Kwa sasa wanaoongoza kwa kuwa matajiri wakubwa Tanzania ni wanasiasa waliopo madarakani au...
34 Reactions
149 Replies
12K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limesema linamshikilia kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani humo Swahibu Juma Mwanyoka kutokana na tuhuma zilizoripotiwa. Katika taarifa iliyotolewa na...
1 Reactions
9 Replies
870 Views
Kufuatia maafa makubwa ya Kaya Takribani 319 Kuezuliwa na Upepo katika Manispaa ya Musoma Mkoani mara Bibi Evelyn Msuba nimiongoni mwa wahanga hao amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
MHADHARA (88)✍️ Ishi vizuri na familia yako hasa watoto wako. Punguza au acha kabisa utemi, ubabe, udikteta, ukatili, na ukali usio na maana kwa watoto wako. Kama umefikia hatua ambayo ukiwa...
19 Reactions
28 Replies
1K Views
Najua umeshtuka sio achana na ile Rolls Royce ya Diamond platinum toka Tanzania au bughatti ya Davido toka Nigeria 😁 Kuna mbwa ana gharama kubwa kuliko hayo magari. Kuna mbwa mmoja jamii ya Wolf...
0 Reactions
10 Replies
897 Views
kitabu hiki kinaeleza mambo yafuatayo 1. Ni jinsi gani masikini wanaweza kuukimbia umasikini kwa kuchukua hatua madhubuti . 2. Kinafundisha nidhamu na kanuni za pesa kiundani. 3. Kinafundisha...
1 Reactions
6 Replies
685 Views
Kesi Namba:2496/2024 Jamhuri dhidi ya mfanyabiashara Dkt. Abdi Hirsi Warsame ambaye ni raia wa Canada mwenye asili ya Somalia anayedaiwa kujipatia fedha kwa udanganyifu imetajwa leo Machi 25, 2025...
2 Reactions
7 Replies
623 Views
Ili kabila nimelipa nyota tano kwa ubishi waliozaliwa nao. Yani anaweza kubishana na TV mpaka tv ukaona imenyong’onyea. Wahaa kwa ubishi wao wanaweza kuishi kokote bila kuogopa. Ukiwa na...
8 Reactions
48 Replies
1K Views
Hakuna taasisi ya kiserikali ,kimahakama ama kibunge iliyo huru Tanzania ,kitu kinachopelekea taasisi nyingi kifanya kazi zake kwa weledi na uhuru. Viongozi wa juu wa taasisi za...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Hali ya hewa ya ukame inashawishi kuwa kufika mwezi June kutakuwa na upungufu wa chakula Wakulima wenye nafaka tutakula kuku Kwa mrija😄 Vijana mawinga na wengine wanaojifanya wa mjini njaa...
5 Reactions
8 Replies
579 Views
Anonymous
Barabara hii ipo njia ya Songea Njombe inamongonyoka upande, sehem ya kona kali hivyo ni hatari kwa watumiani wa magari mazito, kama Malori, mabasi na magari ya mizogo. Mamlaka ichukue Hatua za...
2 Reactions
1 Replies
397 Views
Wakuu bila furaha amini kwamba hakuna amani ya moyo . je ? ni vitu gani wewe vinakupea furaha katika maisha yako ya kila siku . Mimi binafsi nikawa na pesa mfukoni ndiyo furaha yangu ya kwanza...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Wanajukwaa wenzangu, Mnamo Novemba 3, 2024 iliwekwa tarifa hapa ikisema, SONGEA: WAZIRI WA KILIMO INGILIA KATI WAKULIMA TULIPWE PESA ZETU Kutokana na tarifa ile huyu ambaye kampuni yake inaitwa...
1 Reactions
4 Replies
368 Views
Mkurugenzi wa wanispaa ya songea, diwani wa kata ya mjini, serikali yote ya mtaa wa mjini wamewekwa mfukoni na mfanyabiashara anaefahamika kwa jina la DUMA. Viongozi hawa wote wanafaham fika...
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Kwema Wakuu! Kwa wasioelewa haya mambo wanaweza Kuona ni mapya lakini hakuna jipya hata Moja. Mengi ni marudio. Tangu Ibrahim akanyage Hapo Kanaani Muarabu na jamii za Mashariki ya Kati...
12 Reactions
126 Replies
6K Views
LATRA wametoa mkeka mpya ukionesha kutoa ruhusa kwa mabasi makubwa ya abiria kuanza kufanya safari zake katikati ya jiji kutokea stendi ya Mbezi Louis. Kwa muda mrefu sasa mradi wa Mabasi...
14 Reactions
63 Replies
5K Views
Back
Top Bottom