Hatimaye barabara ya uzuri yaanza kufanyiwa ukarabati

Hatimaye barabara ya uzuri yaanza kufanyiwa ukarabati

Foundation

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,420
Reaction score
613
Baada ya kutoa thread wiki chache zilizopita, ile barabara inayoanzia Magomeni moroco mpaka Sinza Kijiweni maarufu kama Uzuri road imeanza kufanyiwa ukarabati. Wameanzia kusafisha maeneo ya sinza huku vifusi vya kokoto vikiwa pembeni, ni matumani yangu kwamba wataifanyia matengenezo barabara yote.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom