Mtanzania, Denis Maringo: afungua kesi Houston Texas kuzidai fidia Google na Yahoo!

Dec 4, 2011
54
6
Kijana Denis Maringo ambaye anadai yeye ni mkimbizi wa kisiasa toka Tanzania aliyeko marekani, amefungua kesi kudai fidia Google akisema kwamba wametumia jina la kabila lake la waGogo isivyo halali.

Pia anawadai Yahoo kwa kutumia jina la kabila la waYao isivyo halali. Denis anadai yeye ni Mgogo kwa baba na Myao kwa mama. Fidia anayodai ni $10,000 kwa Google na $10,000 kwa Yahoo.

Source: Google - 'What's in Google's name?'
 
Kichaa huyo arudishwe mirembe
 
Kichaa huyo arudishwe mirembe

Kweli kabisa naona bangi alizovuta ndizo zimemfanya aombe ukimbizi na polepole anaumbuka; - kumbe chizi. Nashauri wamkamate wampeleke hospitali za huko huko maana kichaa hicho amekipatia huko huko. Ni mkimbizi toka Tanzania?.... Yes, labda kakimbia njaa kali lakini si siasa maana wenzie tunapambana papa hapa.
 
Source yako ya ipo ki WIZI WIZI toa highlighted source mkuu.
 
Kijana Denis Maringo ambaye anadai yeye ni mkimbizi wa kisiasa toka Tanzania aliyeko marekani, amefungua kesi kudai fidia Google akisema kwamba wametumia jina la kabila lake la waGogo isivyo halali.

Pia anawadai Yahoo kwa kutumia jina la kabila la waYao isivyo halali. Denis anadai yeye ni Mgogo kwa baba na Myao kwa mama. Fidia anayodai ni $10,000 kwa Google na $10,000 kwa Yahoo.

Source: Google - 'What's in Google's name?'

nami niliyekuwa pure myao kwa baba na mama si ningedai more than that!aache ujinga
 
JF-The Stress Killer Place

Wachache wamemsoma na kumuelewa vema mwanzisha uzi kabla ya kukimbilia kumzodoa Denis Maringo!

Google - Mgogo
Yahooo- Myao

Kijana Denis Maringo ambaye anadai yeye ni mkimbizi wa kisiasa toka Tanzania aliyeko marekani, amefungua kesi kudai fidia Google akisema kwamba wametumia jina la kabila lake la waGogo isivyo halali.

Pia anawadai Yahoo kwa kutumia jina la kabila la waYao isivyo halali. Denis anadai yeye ni Mgogo kwa baba na Myao kwa mama. Fidia anayodai ni $10,000 kwa Google na $10,000 kwa Yahoo.

Source: Google - 'What's in Google's name?'

Kesi yenyewe ya zamani sana, inawezekana alishindwa. Nimeipata kwenye Scribd someni wenyewe muione gogo v google
 
Ilikuwaje akawa mkimbizi huyu ndugu? Na huko Dodoma kuna wa-gogo au wa-google?
 
Kule unaweza hata kumshitaki Mungu.
Kuna kesi iliwahi funguliwa katika Jimbo moja ambapo jamaa alimshitaki Mungu kwa kutochukua hatua za kuzuia vifo, majanga, na ajali. Lakini ilibidi hakimu kufuta kesi kwani mlalamikiwa hakuwahi fika mahakamani kwani mlalamikaji alipopewa hati ya kumtaka mshitakiwa mahamani alidai hajui anaishi wapi, japo anahisi atakuwa anaishi mbali sana.
Ila huyu dogo is a kind of nut.
 
Kijana Denis Maringo ambaye anadai yeye ni mkimbizi wa kisiasa toka Tanzania aliyeko marekani, amefungua kesi kudai fidia Google akisema kwamba wametumia jina la kabila lake la waGogo isivyo halali.

Pia anawadai Yahoo kwa kutumia jina la kabila la waYao isivyo halali. Denis anadai yeye ni Mgogo kwa baba na Myao kwa mama. Fidia anayodai ni $10,000 kwa Google na $10,000 kwa Yahoo.

Source: Google - 'What's in Google's name?'

Huyu jamaa kumbe ni mkimbizi ki2gani ? kilimkimbiza BONGO huyu ndiye M.M.Mwanakijiji jamaa kichwa vibaya sana, anaonekana anauchungu sana na Tanzania
 
Back
Top Bottom